Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Taarifa kuaminika TISS 32 wamelazwa kwa corona! halafu mmoja mkubwa nyenzi ameenda hadi mbatia kalia! huku JIWE BP JUU! ASANTE KIGOGO KWA TAARIFA!!
 
Siku zote ukiwa jikoni unakua unachagua walaji wako wasikie ladha gani wanapo kula au unawapa kile wanacho stahili..kaka kuna siri ambazo hata hao TISS hawajui ila hizo zinazo vuja sio sensitive hata kidogo ni zakawaida tuu ila tatizo linakuja ni hazituhusu ndomana tunaona ni Siri...
 
Huyu jamaa inawezekana anacheza na akili za watu tu!
Na siyo ajabu ikawa ni mbinu ya hao TISS kuwatafuta wale wanaompinga Magufuli kwa kumtumia huyo mshikaji!
Ipo siku atawageuka wote wanaomshadadia, then ataishia kutukanwa!

Kuna wakati anageuza upepo na kuwafumua akina Zitto, Mbowe n.k! Hivyo inawezekana yupo kimkakati, na tunavyoaminishwa anatafutwa, ni moja wapo ya mbinu za kutekeleza mkakati mzima!
Huyo ni system kabisa huenda!


Sent from my iPhone using JamiiForums
I believe so

Sent using Jamii Forums mobile app
 
technically, Mkuu mimi binafsi sina jibu kwani ni mtu ninaejulikana. Ngoja waje wale wasiojulikana wakupatie jibu.
 
TISS kwa Sasa inaendeshwa na jiwe peke yake ,Diwani amekaa tu kama kitumbua,yaani ili ccm isidondoke ,kwa kifupi TISS ni ya chama sio TAIFA
Tatizo kubwa Awamu hii ya Tano Mkuu kawachomeka Mamluki kibao ndani ya TISS bila kupitia kwenye chungu kupikwa kwanza. Ndiyo maana wanashindwa kujitofautisha na Polisi. Rejea wale waliomvamia Mfanyabiashara wa Mara Bw. Zakaria.
 
Habari zooote unazisikia kwenye mtandao hizo sio Siri Mkuu.... Jua kutofautisha Siri na fununu... Hizo tunazisikia Mitandaoni ni fununu tu
 
Aisee wakuu naomba MSAADA Mimi nataman Sana kujiunga na TISS ila sijajua vigezo na jinsi ya kujiunga naombeni MSAADA wenu ASANTE.
 
Back
Top Bottom