Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

...billion 1.4 imepigwa, na yawezekana kabisa hata huyo kigogo alikuwa miongoni mwa wanaomtafuta na aliipiga hiyo 1.4bn!
Huyo ni syndicate kubwa kama mtoa mada ulivyosema, na nadhani yupo ndani ya tiss huko huko!

Lakini pia inawezekana ikawa ni hadaa, kukamata baadhi ya watu wanaomkosoa Magufuli! Hasa wale wanaompa kigogo taarifa, wawe makini, anaweza kuwaponza wengi wakidhani yupo upande wao, kumbe ni trick tu! Akimaliza kazi yake anapotea huko twitter...

Lile group la wachungaji[emoji848]
 
TISS haipo simple kama mnvayo ichukulia. Ina watu smart na wenye IQ kubwa sana na wanatenda kwa sehemu zao kwa weledi wa hali juu,vivyo hivyo kuna vichwa maji mle na ndio wanaipaka idara matope ya mavi...
Hao vichwa maji TISS iliwapataje kama unadai iko smart? System gani smart inakuwa na maafisa wengine vichwa vinamaji labda unaongelea system ya Nazi maana hiyo ndio huwa ina maji ndani.
 
Kwa ukweli sidhani kama huyo Kigogo ana effect kubwa kama mnavyokuza na hizo siri nzito , siri gani hizo? na zimeleta effect gani kwa wananchi na watawala? Tatizo wabongo wanapenda sana umbea, hivyo vitu nchi zilizoendelea wamejaa kibao, hila watu wengi hawana time nao sababu watu wana kazi za kufanya. Kwa mfano mtu akikuambia "fulani jana kalala na fulani" inakusaidia nini wewe? Kuna ajabu gani hapo? au uzito ni nini? wabongo tufanye kazi tuache umbea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ukweli sidhani kama huyo kigogo ana effect kubwa kama mnavyokuza na hizo siri nzito , siri gani hizo? na zimeleta effect gani kwa wananchi na watawala? Tatizo wabongo wanapenda sana umbea, hivyo vitu nchi zilizoendelea wamejaa kibao, hila watu wengi hawana time nao sababu watu wana kazi za kufanya.kwa mfano mtu akikuambia "fulani jana kalala na fulani" inakusaidia nini wewe? kuna ajabu gani hapo? au uzito ni nini? wabongo tufanye kazi tuache umbea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hana Effect hizo 1.4 Bill zulizotumika kumtafuta ni za nini? Are you serious?
 
Tupo macho tunawachunguza hao TISS. Nikumbusheni yule jamaa aliyesumbua serikali ya Mzee Mgabe kule Zimbambwe adi akatangaza donge nono la madolae ili akamatwe kisa anatoa taarifa nyeti ya serikali iliyoshindwa...bado walishindwa kumkamata. Watumishi wengi wa TISS hawajui majukumu yao bali wanatumika kwa wenye nia mbaya na nchi yetu.
Siri gani za maana alizotoa Kigogo 2014? Uliza kilichowakuta waliokuwa wakimpellekea kinachoitwa Siri Mange Kimambi! Hadi Leo wamebaki midomo wazi huku wanalia wakimtuhumu Mange Kimambi kuwa ni TISS aliyewaanika!!!
 
Naomba niwashauri idara yetu nyeti ya TISS kuhusu jinsi mnavyomfuatilia Kigogo2014 ili kumweka mikononi mwenu kwa sababu ya kutoa siri nzito nzito za Serikali.

Niwaeleze ukweli kwamba, Kigogo2014 hamuwezi kumkamata hata iweje kwa sababu Kigogo siyo mtu mmoja bali ni syndicate kubwa ndani ya syndicate nzito na yenye nguvu kubwa.

Inasemekana zimetumika zaidi ya Bil 1.4 kumsaka Kigogo, mmeshindwa kubaini ukweli na badala yake mnazidi kupoteza pesa za umma kumsaka mtu ambaye hamuwezi kumpata.

Ujio wa Kigogo umesababishwa na uwepo wa utawala mbovu, unaominya haki za Binadamu Uhuru wa Habari, Demokrasia na uharibifu mkubwa wa uchumi.

Badala ya kujikita kwenye kuleta maendeleo, awamu ya Tano imetumia Pesa za umma kununua wapinzani na kuvuruga Demokrasia.

Ajira ya TISS imejikita zaidi kwa vijana wa UVCCM na siyo kwa intelligence experts, sasa watu Kama hao watawezaje kumpata mtu mwenye level ya Mossad na CIA?

Uongozi hauhitaji mabavu bali hekima, unapoamua kuwa mbabe na kwa sababu unawaongoza siyo mbuzi, ni watu wenye akili zao, tarajia kukutana na ma whistle-blowers wengi.

Na mwisho wa siku utashindwa tu, tatizo lenu mnatumika kisiasa sana, yaani mpo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inatawala milele na siyo kwa ajili ya ustawi wa nchi.

Awamu hii hii ya Tano inayosifika kwa kukamata wakwepa kodi, kuna kampuni nyingi tu nazijua na nina ushahidi mkubwa kuwa zinakwepa kodi. Ajabu eti serikali makini haijui, ila serikali hiyo hiyo inajua ni lini Mbowe atafanya mkutano wa ndani ili waweze kumdhibiti asichafue amani ya nchi, kichekesho kweli.

Kama Trilioni 1 ilipotea na CAG akatolewa kwa kusema ukweli, basi acha watu wakwepe kodi. TISS wapo bize kuwarekodi kina Steve Nyerere wakiigiza sauti ya Mbowe anamnyanyapaa kimapenzi mbunge wa Chadema (jina linahifadhiwa)

Yaani badala ya kufanya mambo ya msingi kwa Taifa mnatumika na mambo ya hovyo, baada ya Kigogo kuwavua nguo huko Twitter sidhani kama bado mnaendelea tena na hujuma dhidi ya Mbowe.

Fanyeni ishu za maana kwa Taifa, acheni roho ya usaliti kwa Taifa, vinginevyo mtadukuliwa mno.
Long live Kigogo2014.
Yaan ulianza vizuri tu Ila huko chini ni vuruvuru
 
Kwa ukweli sidhani kama huyo Kigogo ana effect kubwa kama mnavyokuza na hizo siri nzito, siri gani hizo? na zimeleta effect gani kwa wananchi na watawala? Tatizo wabongo wanapenda sana umbea, hivyo vitu nchi zilizoendelea wamejaa kibao, hila watu wengi hawana time nao sababu watu wana kazi za kufanya, Kwa mfano mtu akikuambia "fulani jana kalala na fulani" inakusaidia nini wewe? kuna ajabu gani hapo? au uzito ni nini? wabongo tufanye kazi tuache umbea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hujitambui, upo upo tu
 
Back
Top Bottom