Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Kuna watu huwa wanaota kuja kuwa TISS hivyo wamejitahidi Hata kuangalia movie za Ulaya za intelijensia na kuzihamishia kwetu ndio hawa ambao wanatusumbua kila siku kujifanya wanaijua idara. Laiti ungepata wasaa wa kukutana nao ni wafanyakazi wa kawaida kabisa ambao zamani tulidanganywa eti wanajua hata unafikiria nini. Cc genius Bia yetu Statesmann state agent na wengine wanaojiona kupitia ndotoni wameshakua TISS
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app