UWABATA- Umoja wa wanaume bahili Tanzania

UWABATA- Umoja wa wanaume bahili Tanzania

Kauli mbiu n Ile Ile mwanamke akikuomba pesa mwambie Kuna ishu naisikilizia🔥🔥🔥
 
Dah Leo kidogo nitoe elfu 25 tano yangu kumnunulia demu simu ndogo nikasema ngoja niende bafuni nipigie nyeto moja nijue ni kweli nampenda au ni hisia tu
Baada ya hapo ukapata jibu gani🏃🏽‍♂️😂😂
 
Sijesema tuonge, ila kunyima mwanamke hela ukiwa unazo, na kukosa hata hiyo ya kumpa ni mambo mawili tofauti
Fedha inaondoa dharau ndogondogo
 
Back
Top Bottom