Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #181
Uko sahihi kaimu mwenyekiti 🤒Nawakumbusha tuu usimuhudumie wala kumuonea huruma mwanamke kama anataka huduma aje muishi wote na azae watoto halali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kaimu mwenyekiti 🤒Nawakumbusha tuu usimuhudumie wala kumuonea huruma mwanamke kama anataka huduma aje muishi wote na azae watoto halali
340 hiyo mzee🤒250k na 3k mbona hela nzuri nlikuwa sjaelewa
Kwa hali ya sasa nzuri kabisa340 hiyo mzee🤒
Sema kwa kutafutia mtaji Ina faa🤒Kwa hali ya sasa nzuri kabisa
Soon naku cheki mkuu.Ndio maana Ake mkuu,
Ni platform ya kujifunza Kwa vijana wanao jitafuaaa
Afu numbisa, mbona una penda kuweka hizo duh Mara mbili mbili 😁
Uongo huo 😃, nime ku observe Mara nyingi ni hivyo hivyo🤣🤣😂😂😂😂tatizo network
AhahahaHao viongozi wakikonyezwa tu kwisha habari
Kabisa mkuu hii bajeti itumike kwenye kuandaa kadi za uanachamaTupishe kwanza mqandamano na usafishaji mitaa uishe
😆😆We mi msaliti haiwezekani uwakimbieTupo pamoja wakuu ila Tayana-wog akinisogelea tu mi nawakimbia masela
Hua tunapitisha maamuzi mengi hao wanaoshambulia ndo tabia zao hata kikaoni mda wote full vurugu😆😆We mi msaliti haiwezekani uwakimbie
Na tunavyoshambukiwa hapa
Inaonekana Huwa kwenye vikao vyenu unawachora tu
🤣🤣🤣LooooHua tunapitisha maamuzi mengi hao wanaoshambulia ndo tabia zao hata kikaoni mda wote full vurugu
Udumu katibu muenezi, tuko pamoja nawe🤣💪Mimi kama katibu muenezi wa chama Kanda ya ziwa nitatandaza sera zetu kadri chama kilivo agiza katk Kanda yangu nikisaidiwa na wajumbe wangu Kwa utiifu mkubwa
#nawasilisha
Kuna sehemu una yumba, punguza mapato hayo🤣😃Nikiwa naweza kuonga chinj ya elf 10 nafuzu kuwa bahili wazee
Mnk viwango vyangu vya kuhonga havizidi 10[emoji23]
We Jamaa kwa kuji tetea 🤣😃Hua tunapitisha maamuzi mengi hao wanaoshambulia ndo tabia zao hata kikaoni mda wote full vurugu