UWABATA- Umoja wa wanaume bahili Tanzania

UWABATA- Umoja wa wanaume bahili Tanzania

Wote mko hivyo, mnafurahisha sana.
Huku kelele kibao, huko kwingine busu moja la forehead pesa ya saloon umetoa.
Mimi sipo hivyo Sishindani wakati najua wazi nitashindwa..Najua hamna mkate mgumu mbele ya chai.Lazima ulainike tu upende usipende.
 
Kuna uzi humu unaitwa Chama cha wapiga punyeto Tanzania. Hua nacheka sana nikisoma comments zilizomo. Walikuabaliana watengeneze App na Website ya wanyetukaji🤣🤣
Ule uzi una balaa sana watu wako makini kama wanajenga nchi ,halafu zamani Jf chaputa walikuwa na kama community humu ambayo iko siriaz mpk walikuwa na ratiba ya kuchagua viongozi humu .

dronedrake huo uzi una madini haujawahi ona kuhusu chaputa..
 
Ntaitisha soon m0kutano wa taifa 😊 tuchague viongozi wa kitaifa na kimataifa
 
Back
Top Bottom