Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

kwamba wao hawana ham ya kua na maendeleo ama? hio ni logic simple tu imetumika apo: we unachotaka kufanya ni kukusanya uchumi sehem moja which isnt ok at all: lazma mechi zichezeke na uko chato pia isogeze biashara zao pia
Hivi tangu uwanja wa ndege wa Chato kukamilika kuna ndege za biashara zinatua hapo?
 
Mkuu chato bado sana, unakumbuka alivyo mlazimisha kimei apeleke tawi la crdb chato ikabidi crdb washushe mjengo pale? Mwisho wa siku ikawa kwa siku linahudumia mtu mmoja au hakuna kabisa na navyoandika hapa lile tawi lilikwishafungwa
 
Mkuu chato bado sana, unakumbuka alivyo mlazimisha kimei apeleke tawi la crdb chato ikabidi crdb washushe mjengo pale? Mwisho wa siku ikawa kwa siku linahudumia mtu mmoja au hakuna kabisa na navyoandika hapa lile tawi lilikwishafungwa

Sasa ndo inavotakiwa ili chato isogee mbele: lasivo chato itaendelea kua ivo ivo always kusipokua na haya mageuzi watu watendelea na mawazo yale yale
 

sasa hivo ndio inatakiwa uzungushe uchumi wa nchi: haiwezekan uweke viwanja vyote dar ata kama ni cha ndege: yule mtu ambae anauza chakula si ina maana soko lake la chakula limeongezeka: na wtu wanaofanya huduma za hotel na lodges je? mbna simple tu: hio ni moja serikali inatakiwa iendelee kuongeza nguvu zaidi kwenye hii miji midogo ili tufike uchumi mzuri
 

Sisi ni wafrika, hua tunaangalia cons instead of pros: sasa sjui wangekua wanakaa nchi kama Marekani ambao wana budget zaidi ya $500B kwenye jeshi tu wangekua wanalalmikaje: ni kawaida yetu kuponda kile kitu, so wachukulie poa tu: wakikua wataelewa
 
Uwanja wa kaitaba huko bukoba Una uwezo wa kubeba watazamaji 25000 Tu na unafaa Sana Kwa mji wa bukoba.ndo maana watu hawalalamiki.


Na ulijengwa Kwa sababu viwanja vingi nchini ni Mali ya CCM mfano CCM kirumba,abeid karume nk lakin kaitaba ulikuwa wa manispaa ya bukoba
 
Kama ingekuwa malinzi anapendelea kwao basi angeujenga huko kyaka wilaya ya misenyi mbali na bukoba lakin aliujenga bukoba ambapo panafaaa sana
 
Pointless kabisa ujui maana ya resource allocation and locus yaan tujenge uwanja badala ya mambo ya Muhim? Tena on bias bases???
 
Usiropoke, kama hujui kaa kimya. Kaitaba ni uwanja unaomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba na ndo wameweka nyasi bandia. Usihusishe huo uwanja na mtu yeyote!
Kama malinzi angapendelea kwake basi angeujenga misenyi huko wala sio bukoba .
 
Lengo la kujenga huo uwanja ni kutaka ndani ya hii miaka 10, tuwe na timu imara ya mpira wa miguu (Chato city fc au Chato United fc), ambayo itaiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa au kombe la shirikisho Afrika.

Chato oyeeeee!
 
Umimi (uDar es Salaam) ni moja ya sababu nyingine kubwa kutoendelea kwa taifa la Tanzania.
 
Mwalimu Nyerere angekuwa na fikra kama za jiwe na washangiliaji wake, leo hii Butiama (Mwintongo) kungekuwa kama Paris! Huyu jamaa ni mbinafsi sana....
 
Ni bora wangejenga Geita kuliko chato Kyle bado sana kwanza idadi ya watu ni wachache
 
Rubish,... kuna mchezo gani maarufu unatamba huko CHATO, kuna mchezaji gani maarufu anatokea CHATO..

Kuna Mchezo unaitwa ' Chabuso Game ' na pia kuna Mchezaji Mmoja maarufu sana anaitwa ' Popoma Chabuso ' wa hapo Chato.
 
Kwamba wao hawana hamu ya kuwa na maendeleo ama? Hiyo ni logic simple tu imetumika apo. We unachotaka kufanya ni kukusanya uchumi sehem moja, which isn't okay at all. Lazma mechi zichezeke na huko Chato isogeze biashara zao pia.
Bado una komenti pumba mkuu umiza kichwa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…