impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Intelligence ya polisi inaonyesha wakikodi wapinzani kuna uvunjifu wa amani, hatutaruhusu hilo litokee umetumwa na mabeberu.Vipi vyama vya upinzani wataruhusiwa kuukodisha ili kufanya mikutano yao ya kisiasa ?
Nalog off