Uwanja wa Dkt. Samia Arusha haukidhi viwango vya FIFA

Uwanja wa Dkt. Samia Arusha haukidhi viwango vya FIFA

SELIKALI YA CCM NA VIONGOZI NI WAPUMBAVU SANA.........

LENGO NI KUWEKEZA KWENYE MICHEZO.
HATA KUJENGA UWANJA WENYE MASHABIKI ELFU 70 BAADQ YA MIAKA 17 WANASHINDWA.

SHAME
 
SELIKALI YA CCM NA VIONGOZI NI WAPUMBAVU SANA.........

LENGO NI KUWEKEZA KWENYE MICHEZO.
HATA KUJENGA UWANJA WENYE MASHABIKI ELFU 70 BAADQ YA MIAKA 17 WANASHINDWA.

SHAME
Kwa hiyo upumbavu wao unaujua leo? Umechelewa sana.
 
naona viongozi wanataka kujipromo ili mama awazingatie kwenye teuzi na nyadhifa!hivi hakuna ubunifu mwingine wa majina ya miradi hadi kila mradi upewe jina la kiongoz,anyway acha ujengwe maana tukihoj sana hawachelew kususa
 
RAMANI YENYEWE HAINA UHALISIA.. IMEIBWA SEHEMU NA KUWEKWA BENDERA..
20240319_213544.jpg
 
gharama zinazotajwa sio halisi, hapo usikute ni nusu tu, hizo zingine wanagawana
 
Najiuliza baada ya AFCON huu uwanja utatumikaje watu wenyewe wako bize na biashara kuliko mpira
 
Kwanin uwanja uitwe Dr samia nchi haina wana michezo wakongwe?
Samia aliwahi kuwa mchezaji wa nini??
Kwanin uchawa na kujipendekeza ni silaha
 
Back
Top Bottom