Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

Okey.
 
Kipindi fulani Wachina walilalamika hizo ni propaganda za USA,juzi ilikiwa Zambia uwanja wa ndege, jana Kenya mradi wa treni yao leo Uganda uwanja wa Entebbe, bila shaka kuna kitu Wachina wanatuficha kwenye maswala ya uwekezaji wao na Afrika wamepatolea macho.

Hii mikataba iwekwe wazi bungeni waijadili au kuwe na jopo la wanasheria waidiscuss then watudadavulie faida ni zipi na hasara ni zipi.
 
My friend you are totally misleading your people.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Unasema hakuna mkopo afu hapohapo unadai mkopaji ni Mchina!!!

Huo sio mkopo?

Mchina sio boya, lazima abadili mbinu.

Afu ukute watu kama nyie ndo mnamshauri mama!! So sad!
 
Ule uwanja wa Entebbe ndo ulicost mamilioni ya dola?

Duh Africa ni bara la giza!!
 
Sheria za uwekezaji zinasemaje?
 
Shida ya watanzania ..wanadhani kwamba magufuri hakutaka huo mradi na wala haikumaanisha watanzania wanaohoji wanapinga philosophia ya mradi ie design..ijulikaen wote wanaohoji ni juu ya masharti ya huo uwekezaji wa dolla billion 10..je unakuja na masharti yapi..ndo suala ambalo serikali inabidi ijibu..Shida wale wanaoshabikia huo mradi hawataki kuhojiwa na ukihoji unonekana humtakii mema Samia , suala ambalo ni baya sana..Kwanini serikali na CCM na SAMIA HAWAWEKI HAYO MASHARTI WAZI ILI TUJUE TEAM INAYOENDA KUJADILI INAENDA KUPAMBANA NQ MLIMA KIASI GANI.NACHO AMINI HAIWEKEZEKANI UWEKEZAJI MKUBWA KIASI HICHO USIWE NA MASHARTI
 
kwani bado tupo enzi za Mussa brother kwamba tutegemee kushushiwa mana ili tule au maji yapasuke pande mbili ili tuwakimbie maadui. Mungu huyu huyu aliacha biashara ya utumwa kwa karne na akaacha watu wageuzwe makoloni, wabaguliwe na wanyanyaswe hadi akili ilipowakaa sawa wakaanza kupigania maslahi na uhuru wao

yaani watanzania sijui tunajichukulia kama last borns wa sir God, tunamkimbilia kwa deko ili atuondolee tabu bila kuumia wala kudhurika. Na hata mimi ndo ningekuwa Mungu yaani nisingewadekeza, ningewaacha mteseke tu
 
Mkuu, kama wewe sio mgeni sana hapa Tanzania, basi tutakubaliana pamoja kwamba mikataba karibia yote ya nchi huwa haiwekwi wazi.
(Sio mjadala wa leo juu ya suala la kutowekwa wazi kwa mikataba ni sahihi au sio sahihi).

Kwa sasa wananchi tumegawanyika katika makundi mawili kulingana na maneno tuliyoambiwa na viongozi wetu.

1. JPM alituambia mkataba ni wa hovyo, ni wa kinyonyaji na ni hauna tija kwetu kama nchi.

2. Serikali ya awamu ya sita (Mh. Samia) ametuambia bandari ya Bagamoyo ina tija na manufaa kwetu kama taifa hivyo mazungumzo yataendelea ili kutekeleza mradi huo.

Wote hao wawili hawajawahi kutuonyesha mkataba wenyewe.

Kwaiyo tunajadili "kiimani" tu.

Sijui ni nani mkweli na nani si mkweli baina ya viongozi wetu, wananchi tunayumbayumba tu.
 
Kati ya wanaCCM watatu, Kikwete, Magufuli na Samia, hakuna hata mmoja amewahi kuweka huo mkataba wazi. Wote wanatupiga maneno tu na sisi tunataka kuuana huku.
 
Tulia chawa wa mwendazake
 
"Usimwamini Mwanasiasa yeyote"-Zitto
 
Naona wewe umeajiriwa na wake JK kama "attack dog". Wewe mkataba hujauona lakini unatueleza yaliyomo. Wewe na Magufuli ni nani alikuwa na nafasi ya kujuwa yaliyomo kwenye mkopo. Kuna mwingine anadai siyo mkopo bali uwekezaji. Hata kama ni uwekezaji kuna masharti yanayotakiwa kutimizwa kabla ya mwekezaji kuleta pesa yake. Je, kuna kwekezaji atayekubali kuwekeza kama anaona uwekezaji hautaleta faida. Je, kuna guarantee gani kuwa akiwekeza pesa yake itarudi. Wengine wanadhania uwekezaji huo ni kama ule wa mtu binafsi, asipopata faida hilo ni tatizo lake. BANDARI YA BAGAMOYO NI KAA LA MOTO> Hata SSH anapiga siasa tu, wala hatweka sahohio kasma watu wanavyodhania.
 
Hamna ya kiswahili na sisi tuambulie hoja za kutolea makasiriko
 
Eeeh ...bhn eeeeh semeni mnavyo sema ila MKULU alishatutahadharisha mapema sana kuwa tukijichanganya kidogo tu tuta kucha gegedwa vibaya sana na hao matapeli na wezi yaani ni wa swahili kuliko waswahili wenyewe. [emoji18][emoji115] alie wahi kufanya kazi na wa china aje atoe ushahidi hapa.[emoji847] Bagamoyo ni michongo ya watu ile tuacheni kihere here.[emoji419]
 
Kwanini huo mkopo tusikope wenyewe tujijengee hiyo bandari wenyewe na hilo deni tulipe wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…