Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

Ningependa kusahihisha na kukosoa kidogo: Magufuli alisema mradi hauna tija kwa kulinganisha masharti yake magumu. SSH na genge lake wanakataa kuwa hayo masharti aliyosema marehemu hayakuwepo na wala mkataba haukuwepo. Mkataba uwepo au usiwepo wote tukubaliane kulikuwa na MoU (memorandum of understanding). Humo ndiyo kunapatikana mambo muhimu ya mkataba. MoU ikishakuwa tayari kilichobakiwa ni kutia sahihi. Ukisha tia sahihi, huo ndiyo mkataba. Hii timu ya SSH/JK siamini kwa sababu wanaongelea mazungumzo. Nina hakika baada ya Magufuli kuweka bayana vile vipengele alivyovikataa walipompelekea MoU ili abariki kutia, ndiyo sasa wanashangaika navyo. Kwa vile vinajul;ikana wanatafuta vipenyo ili mkataba uweze kutiwa sahihi. One thiong isb sure, China inataka masharti yabaki hayohayo. Pamoja na JK kuutaka huo mradi ujengwe kwao, lakini alikwepa kuutia sahihi baada ya Wachina kung'ang'ania yale masharti. Ilikuwa ni mategemeo yake Magufuli atautia sahihi. Magufli naye kaukacha. Sasa kabaki SSH, lakini SSH ameishasema atagombea. Huo mkataba una utata mwingi, na nadhani ndiyo utakuwa mazungumzo na malumbano wakati wa uchaguzi wa vyama (ndani) na nchi. Atayeutia sahihi angoje malumbano ya ndani ya CCM na uwezekano wa kuondolewa kwenye kinanyiro cha kusimamishwa na CCM. Lakini swala la uchaguzi wa ndani wa CCM ni gumu, maana wajumbe wa Zanzibar wana nguvu sawa na wale wa bara. Wa zanzibar wakisimama pamoja, na SSH akapata wachache toka bara ameula. Ila kwenye taifa, ndiyop mnyukano wa kuuza nchi unaweza kumdidiomiza SSH. YETU MACHO TU.
 
Kwani hiyo Airport wameichukua wakaihamishia China?,si wanaiendesha mpaka pesa yao irudi,vipi huduma zimesimama?,zimezorota?,Serikali haikusanyi kodi yake?.
 
Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu ila lisemwalo lipo kama halipo basi kuna dalili ya kutokea nasikia hata pale mlimani city watu waliupigwa mwingi kwa ubishi kama huu wa kujua kila kitu.
 
Kwani hiyo Airport wameichukua wakaihamishia China?,si wanaiendesha mpaka pesa yao irudi,vipi huduma zimesimama?,zimezorota?,Serikali haikusanyi kodi yake?.
Ili pesa irudi ni mpaka miaka 100 ijayo
 
Where are the facts. Unless you download the agreement for us to read and understand we can not agree with what you are talking about. We are already confused. CCM ni janga maana Marehemu ni wa CCM mama ni wa CCM. Kwa nini wanatuchanganya. Ingekuwa Mama ni wa chama kingine tungeelewa lakini ninyi kwa ninyi kwa nini kuwe na kujichanganya. Sisi wananchi tumwami nani. Marehemu au Mama. Haya maamuzi yenu huko mbele will cost us dearly. Ninawahurumia sana wajukuu zetu maana watakuja kusema baba zetu walikuwa watu wa jinsi gani. If we can not have visionary leaders one day we may find our self stuck as a nation but I am not praying for that.
 
Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu ila lisemwalo lipo kama halipo basi kuna dalili ya kutokea nasikia hata pale mlimani city watu waliupigwa mwingi kwa ubishi kama huu wa kujua kila kitu.
Kwaiyo ile Mlimani City "tukaibomoe" ?
 
Ukiambiwa uwekezaji wa pamoja, swali linalopaswa kufuata hapo ni "nani ataweka nini" kwenye hiyo "pamoja".

Sijajua swali lako linalohusu BURE BURE linajibika vipi hapa.

Wana siasa wengi ni watu waongo waongo sana. Trust me, kwa caliber ya watu tulionao, tutaishia kule kule wengine wengi walikoishia.
Tuache uongo hautusaidii
 
Ufafanuzi mzuri. Pia naomba kuuliza! Kwani kama nchi, hatuwezi kukopa peke yetu tukaijenga hiyo bandari?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tofauti ya mchina na beberu mchina akikudai anakamata mali yako.Beberu akamati mali yako na anaendelea kukupa pesa na misaada.
 
Magu angekuwepo angejionea kuhusu hawa ndugu zake,ni bora mabeberu awaachi kutukopesha kuliko wachina wao ukamata mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…