Uwanja wa Entebe kuchukuliwa na China kwa ajili ya Mkopo, Mashabiki wa Bagamoyo kaeni mkao wa kula

BAGAMOYOOOOOOOOOOOOO
mama ihurumie Tanzania yetu!!
 
Wanasiasa wa Tanzania hawajawahi kuwa wakweli na hawaaminiki. Umazikumbuka ngonjera za gas ya Mtwara? leo hii kunamwanasiasa anayezungumzia Mtwara?
 
tatizo nawe unaropoka sana, aliongea issues nyingi ikiwa na pamoja na kutoendeleza bandari yoyite katika ukanda huu wa pwani(dar,tanga,mtwara n.k) baada ya huo mkataba kusainiwa na bandati kujengwa, pia mapato yote yatakuwa juu yao kwa kipindi flani n.k na wao wawe na mamlaka ya kila kitu kwenye operesheni za bandari, sasa yanini kutengeneza bandari ambayo huwezi kuendeleza bandari zingine??
 
Hizo pesa nyingi sis kama taifa hatuna uwezo wa kuzipata?
Na hiyo bandari ina umuhimu gan wakati tulizo nazo bado hatujazitumia ipasavyo?
Sembe litapikwa hapo... Na kitoweo pia kitapitia hapo..hapo..

Wachena wanajua wanachokifanya ...na ..waliobariki Hilo hapa Tz wanafahamu vyema wanacho tenda.... .... ...

Lakini ndio hivyo ...

Tutayaona miaka michache tu ijayo... ...
 
Mbona mkataba wajawaida huo.
Watu wana mentality kuwa baada ya kukopa ni wakati wa kula kuku tu na hela yamkopeshaji.
Wanafikiri hata udipolipa mkopeshaji atakusamehe tu.
A poor mans thinking.
 
Kwanini huo mkopo tusikope wenyewe tujijengee hiyo bandari wenyewe na hilo deni tulipe wenyewe.
Ile ni free port ambayo uwekezaji wake ni more than 10trillion s
Hakuna mkataba uliowahi kuingiwa, serikali ipo kwenye negotiation, sasa ukitaka kuamini maneno ya Magufuli haya, ukitaka kuamini ya Waziri wa uwekezaji haya, ukitaka kuamini unayoami I haya. JF ipo tutakuja kujadili tena
Ufafanuzi mzuri. Pia naomba kuuliza! Kwani kama nchi, hatuwezi kukopa peke yetu tukaijenga hiyo bandari?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwanza kukopa tunaweza Ila ni vema kufahamu kwamba ujenzi wa Bandari ni gharama kubwa sana na pesa kurudi inachukua muda sio chini ya miaka 30 sasa ni Bora kuingia concession au JV unaingiza pesa kiasi na nyingine inaemda kwenye mambo mengine.

Pia Ile Bandari ya Bagamoyo ni ya kuchimba (dredging) hiyo ni gharama kubwa na inahitaji utaalamu zaidi.

Kumbuka ujenzi wa berth kadhaa za pale Dar port imebidi World Bank ndio watusaidie kwa kutupatia Grant maana gharama take sio mchezo Sasa ndio itakuwa hiyo ya kuchimba kuongezea kina? Wanachimba sababu kina kofupi kulingana na meli ambazo wanatarajia kutia nanga kwenye gati za hapo pindi itakapokamilika maana watakuwa wanaleta meli kubwa sio hizi ndogo.
 
Umeuona huo mkataba mkuu?
 
Unaweza kuweka hapa mkataba wa mradi huo??.
 
Umemjibu vizuri sana
 
Kwanini waweke masharti kwamba kusiendeshwe shughuli zingine za kibandari kwenye hiyo pwani, na kwanini mkataba hauwekwi wazi ili wenye nchi wauone na kutoa maoni yao?
Umeona eenhh????
 
Mkuu hujui kitu tulia na tafuta habari sahihi achana na taarifa za vijiweni.
 
Weka mktaba wote hapa uwe wazi.Vinginevyo tumashtuka.Huo mradi usubiri,kwani kuna haraka gani
 

Ivi ungekua wa hivo tz ingekataa kwa kigezo gan??????

Unachotakiwa uelewe mkopo uko hivi


-full funded
-partial funded ( hapa n percentage inategemea)

- huku kwetu n funded n constructed by chinese yaan unakopwa ela na wanaojenga n hao wanokukopesha!!!....
Vyovyote vile we unadhan kuna biashara ya hivo ya hovyo kama hyo et mchina awke ushirika bila hela yake kurud na riba???
- 99yrs

Ebu jielimishe afu rud !! Na usisahau kurud na mkataba
 
Tunaomba documents za mradi huu nasi tupitie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…