Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Free Kick kuelekea Kagera Sugar

Chamaaa anapiga shutiiiiii golikipa anatema na kuwa kona ambayo haikuzaa matunda.
 
kulikua na haja gani ya kuanza na kikosi chote cha kwanza !?? ukizingatia tuna mechi za muhimu mbeleni. mechi kama hizo ndio za kuwapa vijana wengine waonyeshe uwezo wao

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi natamani hata Mechi ya Coastal Union wacheze wakina Ajibu, hawa wachezaji Muhimu wangeachwa tu, naogopa sana wachezaji Muhimu wasije kuhumia kabla ya mechi yetu na Kaizer.
 
55' Morrisoon Goooooooooooooooaaal
Goooooooooaaal

Bernard Morrison anaipatia Simba SC bao la kusawazisha, kazi nzuri ya Miquissone

Simba SC 1-1 Kagera Sugar
 
unakikosi kipana lakini hufanyi rotation ya kikosi huyu kocha hajielewi
 
Back
Top Bottom