Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

Ulikuwa mkutano wa chama sio serikali
Sasa utajilipisha faini kwenye mali yako.seikali imeharibu uwanja wake kwahyo itabidi wautengeneze wao wenyewe.mmiliki ndiye aliyeharibu sasa fine ni kwa nani ulitaka?
 
CCM wanashindwa kutofautisha mali za umma na za chama, wanaona kila kitu ni chao

Hii ndio sababu nchi imebaki maskini mpaka sasa ,
kodi za wananchi wanatumia kumlipa diomond na wenzake, wakati hospatalini, kupata paracetamol ni shida
Wanafuata nyayo za Magu. Hela za serikali ni zake binafsi, anazigawa na kuzitumia atakavyo. Hakuna cha bajeti wala Hazina.

Mwenyewe anasema huyu nilimkata na huyu nikampitisha agombee. Siyo chama, ni yeye. Kwa jimbo la kawe anasema kabisa nilimkata mtoto wa dada yangu ambaye alishinda kura za maoni, nikamweka Gwajima. Huyo ndie rais wetu.
 
Wivu tu!
 
Lini mshaikubali budget ya serikari? Kama hamkushiriki kupanga budget iweje mfatilie matumizi? Kafieni mbele huko!
 
Umeiona picha ya leo? Umeweka picha ya jana just after the event kisha unakurupuka leo asubuhi..
Sikufanyii assignment, tatuta mwenyewe picha za leo uone uwanja ukoje..
 
Kishindo cha awamu ya tano
 
Wamekosa ustaarabu hata Dust been hawakuwa nazo.

Hii ni Aibu sana jamni.

CCM why
 
Ccm ni chama chakavu hakistahili kuweko ktk uso qmwa Dunia watanzania wenzangu twendeni tikakifute kwa nguvu zote tr 28 October
 
Nasikia zimeokotwa ndoo 20 za condom zilizotumika
 
kwani hakuna watu wa usafi?
Kazi ya uwanja utumiwe na watu na watu ndio sisi.
Shida ipo wapi?
 
Sasa utajilipisha faini kwenye mali yako.seikali imeharibu uwanja wake kwahyo itabidi wautengeneze wao wenyewe.mmiliki ndiye aliyeharibu sasa fine ni kwa nani ulitaka?
Non sense kabisa watu Kama ninyi ndio wa kupiga risasi hadharani yaani unashindwa kutofautisha chama na serikali!
 
CCM wanashindwa kutofautisha mali za umma na za chama, wanaona kila kitu ni chao

Hii ndio sababu nchi imebaki maskini mpaka sasa ,
kodi za wananchi wanatumia kumlipa Diomond na wenzake, wakati hospitalini, kupata paracetamol ni shida

kwan ruzuku sio pesa za umma? unadhan kiwanda cha konyagi mlichofunngua hai hatuna taarifa nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…