Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Sitaki uni nikuuu.Nilikutukanaje?
Kuanzia leo.
Kumbuka ulipo ninukuuu ulisema nini.
Naomba endelea na sherehe zako.
Kwakuwa nakupenda sana yaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki uni nikuuu.Nilikutukanaje?
Nilitukanaje? Au nilikuita "chizi"?Sitaki uni nikuuu.
Kuanzia leo.
Kumbuka ulipo ninukuuu ulisema nini.
Naomba endelea na sherehe zako.
Kwakuwa nakupenda sana yaani.
Mlianza kulaumu waamuzi, leo kocha mpaka mtakapokosa ubingwa sijui mtakuwa mmelaumu watu wangapiHii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.
Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
Basi tufanye mimi ndio chiziNilitukanaje? Au nilikuita "chizi"?
Chizi maarifa? Au chizi mix?Basi tufanye mimi ndio chizi
Ona huyuHii mechi tukifungwa, kocha atahusika kwa asilimia zaidi ya 70! Amezingua kumuacha nje kiungo mkabaji kama Mukoko na kuwaanzisha viungo ambao si wakabaji wa kiwango cha Mukoko mfano huyu Zawadi Mauya.
Makosa mengi yanafanywa na mabeki kwa sababu ya udhaifu wa kiungo mkabaji. Zawadi Mauya anapuyanga tu uwanjani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa umenichekesha sana
Ban inakuhusuChizi Maarifa Mimi Nawaomba Moderator Wanipige Ban Ya Mwezi Mzima Tusiposhinda.
Game Imeisha Mapema Sana.
Chizi Maarifa Mimi Nawaomba Moderator Wanipige Ban Ya Mwezi Mzima Tusiposhinda.
Game Imeisha Mapema Sana.
Sahau. Mecky hawezi tunyima points 3
Huko Kidimbwini yamejaa mapopoma tupuHembu waoneni wanavyoteseka