Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Ila pamoja tumefungwa ila kuna jamaa yangu hapa alibeti akamuamini yanga kala mzigo..kwa furaha kanirushia nusu ya pesa aliyokula..angalau kesho supu imepatikana ya kupoza machungu..
 
Tambo kama zoote na bado utabiri wa mganga juu ila watu wamekalia. Yanga imara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hawa kwa tambo wanajitahidi ila yule mganga sijui ana hali gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…