Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Akimpanga defensive midfielder Mkude mbele ya midfielders wa Yanga tunafungwa tena. Mkude hawezi mpira wa kasi na nguvu, nyuma pale anatakiwa asaidiwe na Fraga.

Mkude ndio chanzo cha kufungwa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha lawama Mkude kapiga mwingi sana leo sema bahati haikuwa upande wa Simba.....!!! Hawa vyura sasa tuwalie taiming FA kabla mwaka haujaisha
 
Back
Top Bottom