logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anachungulia sahivii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira hauna adabuVyura kwenye huu uzi hawaji labda wabahatishe japo sare ndo utawaona hapa.
Yaani ni kwamba hawajiamini kabisa na timu yao.
Naona wanachungulia tu na kuondoka.
HahahahahaMheshimiwa Rais asante kuwepo maana viti vilikuwa vinang'olewa vyote.
Atakuwa na mawazo sana. Bora apotezee na hiyo K-vant. Siku imeharibika mbayaaa kwake
Inakera kuchkua ubingwa bila kumla chura.
Acha uogaIla leo mwanangu yanga tunakufa pale taifa maana simba wenzetu wanakikosi kikubwa halafu machachari.
It's Scars
Akimpanga defensive midfielder Mkude mbele ya midfielders wa Yanga tunafungwa tena. Mkude hawezi mpira wa kasi na nguvu, nyuma pale anatakiwa asaidiwe na Fraga.Mpira bora kbs wa Derby....bahati haikuwa ....Kongole wachezaji Simba....Kongole Yanga kwa ushindi...!!! Tukutane FA...mambo yanavyoenda tunaweza kuiona 'DABI' ingine mwaka huu..
Milion 200 kwa timu ya wananchiViongozi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Msolla, wakizungumza na wachezaji pamoja na benchi la ufundi jana kuelekea mechi ya watani wa jani, Yanga Vs Simba
Picha chini, Viongozi wa Simba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Dewji, wakizungumza na wachezaji na benchi la ufundi jana kuelekea mechi ya watani wa jadi, Yanga Vs SimbaView attachment 1380593View attachment 1380594