Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

😂😂😂
87569805_572177526718327_4611489855588701925_n.jpg
 
Mpira bora kbs wa Derby....bahati haikuwa ....Kongole wachezaji Simba....Kongole Yanga kwa ushindi...!!! Tukutane FA...mambo yanavyoenda tunaweza kuiona 'DABI' ingine mwaka huu..
 
Akimpanga defensive midfielder Mkude mbele ya midfielders wa Yanga tunafungwa tena. Mkude hawezi mpira wa kasi na nguvu, nyuma pale anatakiwa asaidiwe na Fraga.

Mkude ndio chanzo cha kufungwa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom