Hata mie namtafuta huyu mwanamke dume! Nampa hongera zake Shadeeya na Heaven on Earth wanawake wa shoka! Oh cariha na Mzigua90 na binti mrembo Shunie pamoja na rubii ni mashabiki wa yanga. Usichukie miss chagga mama laoShadeeya kaibiwa simu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie namtafuta huyu mwanamke dume! Nampa hongera zake Shadeeya na Heaven on Earth wanawake wa shoka! Oh cariha na Mzigua90 na binti mrembo Shunie pamoja na rubii ni mashabiki wa yanga. Usichukie miss chagga mama laoShadeeya kaibiwa simu nini?
Ft: Yanga 1 - 0 mbumbumbu fcKama kuna mtu yanga alafu anashabikia man United nampatia pole zangu za zati
Sent using Jamii Forums mobile app
Ft: Yanga 1 - 0 mbumbumbu fc
Dkk: 76 Man u 1 - 0 man city
Huo ndo mpiraa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mmeshindwaje kubahatisha?Nyie vyura [emoji196] [emoji196] [emoji196] mmebahatisha! Acheni mbwembwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo kwa kweli yanga wameonyesha ubora wao... Kila idara wameperform.Jamani yanga wanacheza mpira wako vizuri ni wanatoa burudani safi viungo bora kabisa, rais wa caf kawakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tupo hapa muda wote nyie mmekuja baada ya UshindiNani anachungulia sahivii[empoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira hauna adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunajiamini nyie Hadi mshinde ndo mjitokeze mkuuNani anachungulia sahivii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpira hauna adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo Ila bado haamini kama kamfunga mnyama mkaliShadeeya kaibiwa simu nini?
Acha lawama Mkude kapiga mwingi sana leo sema bahati haikuwa upande wa Simba.....!!! Hawa vyura sasa tuwalie taiming FA kabla mwaka haujaishaAkimpanga defensive midfielder Mkude mbele ya midfielders wa Yanga tunafungwa tena. Mkude hawezi mpira wa kasi na nguvu, nyuma pale anatakiwa asaidiwe na Fraga.
Mkude ndio chanzo cha kufungwa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mnaowalia timing wenyewe wala hawana habari na nyie mkijipendekeza kwao mnaweshwa sare za madera katika siku ya wanawakeAcha lawama Mkude kapiga mwingi sana leo sema bahati haikuwa upande wa Simba.....!!! Hawa vyura sasa tuwalie taiming FA kabla mwaka haujaisha
Kiukweli Simba leo wamecheza soka safi tu basi tu bahati haikuwa kwetuAcha lawama Mkude kapiga mwingi sana leo sema bahati haikuwa upande wa Simba.....!!! Hawa vyura sasa tuwalie taiming FA kabla mwaka haujaisha
Kwani soka pale uwanjani umelionaje mkuuMshabiki Wa Simba Kabla Ya Mechi: "hiki ni kikosi cha kucheza na barcelona mnakipanga na yanga,?leo yanga tunawapiga goli nyingi".