Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Leo bingwa ameingia cha kiume ametoka analia.Tumekubali matokeo tujipange na mechi zijazo.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo bingwa ameingia cha kiume ametoka analia.Tumekubali matokeo tujipange na mechi zijazo.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapo kimya,wanajidai busy na siku ya wanawake
Nawapongeza Mashabiki wote wa Simba mlo hapa hadi sasa...
You are true fans.. Mmekubali kiroho saafiiii....
Pole mtaniNashukuru nilikumbuka kubeba kikoi cha kujifunika, sijui ningeendaje nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1381159
Yaani hawa kwa tambo wanajitahidi ila yule mganga sijui ana hali ganiTambo kama zoote na bado utabiri wa mganga juu ila watu wamekalia. Yanga imara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hawa kwa tambo wanajitahidi ila yule mganga sijui ana hali gani
Tena leo Magufuli alitakiwa apewe mic baada ya mechi atoe neno la nasaha.