Mambo zilikuwa mingi toka wiki iliyopita sikuwa napita huku.
Shadeeya nilikuomba unifanyie hesabu yangu ndogo tu mbona unanibania?Sesten Zakazaka na Kitombise ππ
Nipo Mkuu. Kuna habari gani eti? π€£π€£Shadeeya kaibiwa simu nini?
Mtani hii kauli imetoka kwako kweli. π€π€π€Nyie vyura πΈ πΈ πΈ mmebahatisha! Acheni mbwembwe πππ
Leo mikia itakua wamepata cha kujifunza,wana dharau na kuongea mno hawa mafyetelo fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo zilikuwa mingi toka wiki iliyopita sikuwa napita huku.
Haya nambie umepokea salaam au bado?
OKW BOBAN SUNZU ndiye simba damu, aje atueleze hapa. October hiyoooAsante mkuu, wape sure hao Mikia, hii ndo Yanga baba lao tupo huku sunrise hotel tunakula vyetu baada ya ushindi mnono wa bao moja Kali la msimu