Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Shabiki makini na mwenye kuipenda timu yake ni yule anaekua mkweli. We jamaa nimekuelewa sn,pole mtani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo zilikuwa mingi toka wiki iliyopita sikuwa napita huku.
Shadeeya nilikuomba unifanyie hesabu yangu ndogo tu mbona unanibania?
Nipo Mkuu. Kuna habari gani eti? 🤣🤣Shadeeya kaibiwa simu nini?
Mtani hii kauli imetoka kwako kweli. 🤔🤔🤔Nyie vyura 🐸 🐸 🐸 mmebahatisha! Acheni mbwembwe 😂😂😂
Leo mikia itakua wamepata cha kujifunza,wana dharau na kuongea mno hawa mafyetelo fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo zilikuwa mingi toka wiki iliyopita sikuwa napita huku.
Haya nambie umepokea salaam au bado?
OKW BOBAN SUNZU ndiye simba damu, aje atueleze hapa. October hiyoooAsante mkuu, wape sure hao Mikia, hii ndo Yanga baba lao tupo huku sunrise hotel tunakula vyetu baada ya ushindi mnono wa bao moja Kali la msimu