Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Hongera mkuu it seem umekomaa kimichezo, ila nami niwakumbushe tu match ya derby si match yakubeza ety timu fulani haina perfomance. Kiukweli Yanga hata iwe mbovu namna gani ila ikikutana na mtani wake lazima show ionekane.. Naamini kila timu imestahili kwa kilichopatikana..
Hongera sana YoungAfrica, Hongera simba kwa ushindani mkubwa mliouonesha
 
Asante mkuu, wape sure hao Mikia, hii ndo Yanga baba lao tupo huku sunrise hotel tunakula vyetu baada ya ushindi mnono wa bao moja Kali la msimu
 
Back
Top Bottom