Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ikifika saa 12 usibanduke Kaka wa mie mpaka mwisho leo.Nipo hapa nimetia kambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika saa 12 usibanduke Kaka wa mie mpaka mwisho leo.Nipo hapa nimetia kambi
Saa 12.00 jionHivi hii Mechi itaanza saa ngapi?
Mwanzo mwisho DadaIkifika saa 12 usibanduke Kaka wa mie mpaka mwisho leo.
KILA LA HERI AL MASRYTuwe pamoja kwa updates
View attachment 706581
Kikosi cha Simba
View attachment 706587
Kikosi cha Al Masry
View attachment 706516
aaawapiTuungane watanzania wote,kuwapa support wanaojua mpira...acha mpira utende haki,kila la kheri al masry
Watanzania tupo nyuma yenu
Mkuu kuwa makini yasije kukumba yale ya Mbao😀😀😀😀😀KILA LA HERI AL MASRY
Mkuu unapenda Simba kama mie au uko upande wa Makirikiri unataka uone tu tunavyokula tende saa moja ijayo?Ikifika saa 12 usibanduke Kaka wa mie mpaka mwisho leo.
Ghazwat , Sesten Zakazaka , Zamaulid , Southern Highland , Joseverest , King Ngwaba , barafuyamoto , OKW BOBAN SUNZU , zeshchriss , Mshuza2 , hazard cfc , babalao 2 , Oxygen gas , namanyele ,ZigiZaga , theriogenology Shunie , Elgibo , Songa heri Shombe la Kisomali, Barn , Lyon Lee na wengine wengi njooni huku na leo kuna game. Teh.
Haaaaaaaaa umechezeshwa makirikiri mpendwa?Mie mpenzi sana mdogo wangu. Kama jana nilipata homa baada ya timu niipendayo kupokea kichapo.
Vp wewe timu gani kwani?
Tuungane watanzania wote,kuwapa support wanaojua mpira...acha mpira utende haki,kila la kheri al masry
Watanzania tupo nyuma yenu
KILA LA HERI AL MASRY