Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Uwanja wa Taifa: Simba 2-2 Al masry, Kombe la Shirikisho Afrika

Tuungane kwa pamoja kuishabikia simba ,timu ambayo imesalia kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.
 


Ha ha ha ha ha 😀 😀 😀 Ya Jana ni Madogo! Hasa ni Leo Ndiyo tutakayowakosesha [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] usingizi baada ya Kumgegeda Mwarabu.
 
Inshaallah,Mnyama hatatuangusha leo..! Sio kama wale wa jana,wanaonekana wameshindia mihogo kabisa.
Du’aa zetu mbele ya Mnyama’z Simba
 
Mie mpenzi sana mdogo wangu. Kama jana nilipata homa baada ya timu niipendayo kupokea kichapo.

Vp wewe timu gani kwani?
Haaaaaaaaa umechezeshwa makirikiri mpendwa?
Pole,leo tunaenda kula zawadi tende tulizoletewa,karibu mtani tule tende upunguze uchovu maana makirikiri kuicheza si kazi ndogo loool
 
Nimebet na mtu hela,yaani Simba isije ikafungwa kahela kangu kakaenda nitalia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuungane watanzania wote,kuwapa support wanaojua mpira...acha mpira utende haki,kila la kheri al masry


Watanzania tupo nyuma yenu


Usije ukaacha tu Kuwa Nyuma Yao Baada Ya Kuondoka Dar na Kilio cha Kuraruliwa na Mnyama Mkali Zaidi Zaidi Kuwahi Kutokea Duniani.
 
Jitahidini msituangushe kama yanga jana [emoji22]
 
Back
Top Bottom