90+2'
Kuelekea kumalizika kwa mtanange huu wa VPL
Inapigwaaaaaa kuleeeee, golikipa wa Singida anaruka na kuutoa mpira na na kuwa Kona
Anakwenda kupiga Wawa upande wa kulia, anapiga mpira wanaokoa Singida, anakimbilia Shiboub
Naaaaaaam mpira umekwishaa Simba wanaibuka na ushindi mnono wa mabao manane kwa bila dhidi ya Singida Utd
VPL, FT: Simba SC 8 -0 Singida Utd