Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Roho ya Chacha Wangwe sasa hivi iko kwenye familia ya makengeza mbowe.Wachague moja tu - kutenda haki au la divine intervention inawahusu. Hilo halina ubishi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho ya Chacha Wangwe sasa hivi iko kwenye familia ya makengeza mbowe.Wachague moja tu - kutenda haki au la divine intervention inawahusu. Hilo halina ubishi!
We mnafiki huna Lolote kachero Fake unabrok watu twitter unakimbilia huku.
Mkuu nimekuuliza na wewe unaniuliza. Si ungenijibu kwanza halafu ndio ukaniuliza na wewe swali lako??Kuna chama au taasisi isiyo na wahuni?
Mkuu nimekuuliza na wewe unaniuliza. Si ungenijibu kwanza halafu ndio ukaniuliza na wewe swali lako??
Narudi kukuuliza, kwahiyo Mdude Nyagali ni muhuni tu??
Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."
Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?
Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.
Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.
Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.
Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.
Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"
Bora umeliambia hilo pimbi.We mnafiki huna Lolote kachero Fake unabrok watu twitter unakimbilia huku.

Hebu subiri...kina Mbowe hawakufutiwa kesi bali walishinda rufaa dhidi ya kesi ile...mama hakumtoa Mdude gerezani bali alishinda kesi!Samia ni dikteta kwa sababu hafuati sheria, kutumia kigezo cha kuwafutia kina Mbowe kesi ndio u-justify Samia sio dikteta ni ufinyu wa kufikiri, hii nchi inaendeshwa kwa sheria sio hisani.
Wabongo kwa kuiga hatujambo🤣🐒👇Mbowe kaenda kuiga hadi mavazi ya EFF hadi aibu kabisa
Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika kumnyolea Magufuli utatumika kwake (Mama Samia) pia." Hakukuwa na wembe as such bali alimaanisha kuwa endapo "Mama Samia akiwazingua Chadema nao watamzingua."
Well, kwa kilichojiri Mwanza, ni wazi "Mama kawazingua Chadema." Swali ni je, nao wana uwezo wa kumzingua?
Nimeona Mheshimiwa Lissu akiwataka Watanzania kuingia mtaani kutokana na kukamatwa kwa Mbowe na viongozi wenzake. Nadhani Mheshimiwa ameshasahau kuwa alipotoa wito kama huo kuwa watu waingie mtaani Novemba 2 mwaka jana baada ya "uchafuzi wa kihistoria," hata viongozi wenzie hawakujitokeza mtaani.
Lakini hata tukiacha tukio hilo, tangu 1995 hadi 2005, Mkapa aliwazingua Wapinzani lakini hakuna aliyemfanya chochote. Jk nae akarudia 2005 hadi 2015, na hakufanywa chochote, na majuzi Magufuli akafanya aliyotaka kufanya dhidi ya Wapinzani na hakupata resistance yoyote mpaka anaingia kaburini.
Kwahiyo, hata Mama Samia akiamua "kuiga mfano wa watangulizi wake" hakuna wa kumfanya chochote. Sad but true.
Majuzi walipokamatwa akina Lwaitama, ilisubiriwa "huruma ya serikali" kuwatoa rumande. Hakukuwa na jitihada zozote zaidi ya kelele za mtandaoni. Na leo inakatika, same story. "Oh Mama Samia ni dikteta," "Oh atakiona," same empty words.
Ukweli mchungu ni huu, endapo Mama Samia ataamua "kuwazingua wapinzani" hakuna wa kumzuwia. Ukweli huu mchungu unapaswa kuwa sehemu ya mikakati ya upinzani katika kupanga ajenda zao. Kwamba kujimwambafai mitandaoni ilhali likitokea la kutokea watu wanaufyata, ni mkakati fyongo. Kwa kifupi, confrontational politics haziwezi kuuwezesha upinzani kutimiza ajenda zake. Kunahitajika njia mbadala. Hiyo ni mada ya wakati mwingine.
Baadhi yetu tulionya, though, baada ya Mama Samia kutahadharisha kuhusu "chokochoko"
Hili ni zaidi ya pumbavu. Yaani linakera sana.Takataka kabisa kama wewe ni kachero kwanini umekimbia nchi?
Pumbavu
Duniani hakuna mtu ambae haigi hata MAENDELEO tuliyonayo tumeiga kwa Wazungu hivo kuiga kitu sio kosa.
Kipindi cha Magu mimi mwenyewe niliwaunga mkono sana! Ila kwa hili wameteleza. Ajabu iliyokubwa nilidhani kejeli, dharau na matusi ya jumla na rejareja huwa wanayatoa Mataga tu kumbe makamanda/makada wao nao vilevile.Kaka mm Hawa cdm nimejitoa wajinga Sana enzi za magufuli tumewasupport kumpinga magufuli ,Leo Samia amekubali kuwasikiliza ,kawasamehe waliofungwa kiuonevu lkn bado wanamtukana,mbowe kavaa manguo ya waasi,yaan kaona mwanamke kawa rais ndo anataka kumsumbua mbona kwa magu hakufanya hvyo,yaan Ni bora bas hata angesubiri uchaguz ndo aanze vituko yaan kaona magu kafa kaibuka kwa fujo hv
Ukiwa barabarani hata kama ni haki yako ukiona kuna dhara linataka kutokea jihami.Katiba nzuri ni faida ya wananchi wote. Unless uko kwenye system ya kufaidika kwa katiba iliyopo, ni kwa faida yako pia. BTW mimi napiga kelele siyo kwa sababu niko kwenye siasa, au inaniathiri sana sasa hivi la hasha. Najaribu kuangalia mambo kwa upana.