UWATA wamesambaratisha familia yetu

Mkuu

Unapoanza kumtafuta Mungu WAKATI yupo nawe sikuzote hayo ndio matokeo yake!!

Jamii za kilokole zina matatizo fulani FULANI hivi!!

Yaani Imani zinapozidi akili matokeo yake ndio hayo!!

Ulokole na kumiliki fedha nyingi ni mbalibali labda uwe mlokolet wa mchongo lakini mlokolet halisi kabisa huwa ni maskini wanaoishi KWA muujiza na hela ya kula tu!ukiona mlokole ni tajiri kabisa yaani tajiri haswa ujue huo utajiri ni wa mchongo tu kuna jambo anafanya nyuma ya pazia!!!!

KWA KAWAIDA ukiwa tajiri halafu siyo mlokole ukajiunga na ulokole lazima tu ufilisike na kia wa KAWAIDA!!!

Wa kwenda deep watanielewa!!!
 
Vipi ikiwa wakakupa ' unabii ' kwamba mke wako ni mchawi ,hivyo wakakuambia umuache na uoe mke mwingine toka ndani ya jumuiya yao na ukafungia ndoa ktk kanisa lako.Kama ikiwa hivyo wao ndio wanakuwa wamekuachanisha na mkeo.
Huitaji unabii umjue mchawi,ni vile binadamu tupo mbali na Mungu,ukiwa mchawi ni mchawi tu na hamna kupakaza mafuta wachawi hawatoki sayari nyingine ni ndugu,jamaa,marafiki wake na waume,so kama ni mchawi si lazima uambiwe nuru na giza havichangamani either uwe nuru ama giza,
Kama mchawi anaweza kuua mume wake,mke wake,kumchukua msukule,kufunga mafanikio why? Ulembe uchawi ni uchawi tu hamna mafuta mengine,....!!!
 
Mi nikishaanza kuona dini inahubiri habari za Mungu af ina ubaguzi basi tena hao sio watu mzee . Kuna madhehebu wanajionaga kama vile malaika hawakosei na wameshajudge kabisa kwamba kama wewe sio wa kwao basi ni wa shetani
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa mlokole.

Huwa namfuatilia sana Mwamposa yule jamaa ana akili sana, huduma yake haina ulokole wala dini, hawa ndio watu genius naweza kupoteza muda wangu kumsikiliza.

Mimi uzuri kanisa letu kina bar na kitimoto inauzwa hapo hapo, leo jumapili hata kama si muendaji kusali naweza kwenda kwenye club ya kanisa kula kitimoto na bia zangu mbili nasepa, yani tunakwenda mbinguni huku tunatabasamu na kuifurahia dunia, siyo dini za kutishiana moto, hakuna swala moto kwa Mungu.
 
We jamaa unachekesha sana!!

YAANI watu wanajiona watakatifu kuliko Daudi,yakobo n.k

Hatari tupu AISEH!!
 
Jidanganye sana ,
Motoni kunakuhusu .
Labda kama mbinguni ni kuwa babaako utaenda,
Kwa mwamposa hamna Mungu,
Kule ni kupotezwa na kuchukua sadaka na hata mm sijawahi hata kufatikia sijui nabii yoyote yule ,zaid ya kanisa langu la kkt na upendo radio at least wanajitahidi tena kwa baadhi

Ila najua kabisa kuwa kkt akunifikishi mbinguni nisipo amua.

Pili kuna tofauti ya kuwa mlokole na kuwa mtakatifu,kuwa mlokole ni maigozo kwa watu waone,unaweza kuwa mlokole ukazini,ukalewa,ungonga mademu, kitambaa cheupe fresh na usiku unalog alafu jpili mlokole,kuna wachungaji wengi wanajiita walokole na kuzimu wanaenda,tafuta ule uzi"uliza swali lolote kuhusu freemasons"
Short nuru na giza zina principle zinazofanana ,ila reverse' ni kile kile kama huku
Zini-Uku usi
Lewa- Uku usi

Narudia utakatifu hautangazwi ni Matendo but ulokole ni matangazo na maonesho.
 
We jamaa unachekesha sana!!

YAANI watu wanajiona watakatifu kuliko Daudi,yakobo n.k

Hatari tupu AISEH!!
Hamna cha yakobo,sijui yohana sijui petro Mungu hana upendeleo kipini cha yakobo ndo kipimo chako ,

Kama ilivyo utajiri ulivyo si kwa ajiri ya kila mtu,hata mbinguni si kwa ajiri ya kila mtu.
Na ukiona umeshindwa kuwa mtakatifu kama wao ujue mbinguni si kwa ajiri amua tu kula zako bata,mademu,fanya mambo mengine usije ukasosa vyote
 
Uwata hamna anayemlazimisha mtu kutoa kea sababu hamna mmiliki,na hamna aliyeajiriwa na kulipwa mshahara labda kwenye taasisi zao, huko sijui kwasababu mm nimetoka kabda ya kuwepo taasisi ilikuwepo moja.
Kuhusu kutoa eneo,au jambo fulani ni kawaida hata shetani unatoa sadaka kwake,.....!! Y not Mungu.
 
Hakuna moto hizo ni swagger tu za watu wa dini kutisha watu.

Kungekuwa na moto kweli hao walioandika hii Biblia unayosoma wewe na kuamini wasingeongoza kwa ushenzi.

Dini ni mradi wa wajanja ulioratibiwa kwa umahiri wa hali ya juu.

Sasa angalia hii dunia wafia dini ndio maskini wa kutupwa, wakati wale unaowaona wewe ni wafuasi wa shetani ndio wenye mafanikio.
 
Hahmna mfia dini hapa?? Dini ipi na hela ni maarifa na kujituma
Mm csadiki dini yoyote na hela natafuta
 
Hawajui hao hebu waeleweshe dunia ilivyo
 
Bro kwa kukusaidia sheria haijawah kumletea mtu wokovu chief. Ndio maana hakuna dhehebu litakufikisha mbinguni ila mwenendo wako katika Kristo. Huwez kusema sisi tumeamua kuacha kila kitu so tumeamua kuishi hiv ndio utakatifu. Bro hilo ni jambo jema lakin Mungu tunaemuabudu ni Roho so ataabudiwa katika Roho na kweli so wewe mwenyewe ndio wakushuhudia Roho yako. Vingine vyote ni hekima za kibinadamu tu. Unamkumbuka yule kijana tajir aliyemuuliza Yesu afanyeje ili afike mbinguni? Alishuhudia kabisa kuwa alikuwa anashika amri zote za Mungu tangu akiwa kijana mdogo. Lakin alipojaribiwa jambo dogo alichemka kumbe ana choyo ndani yake.
 
Unamjua roho ?? Roho ni Mungu na Mungu ni Roho, awamaanishi roho tu?
Inamaana roho takatifu ya Mungu,nani kakwambia roho anachangamana na dhambi?
Hakuna swala la sheria wala nini usijidanye amua moja kula bata kama mwanangu sana leftyie worldie au amua kuwa mtakatifu na si mwanadini,
Usije Kukosa vyote bata hujala na mbinguni unaenda,
Achana na huu uuni wa likalabosika unafikir roho anakata kwa mchawi,mzinz,mla rushwa?
Unafikir roho wa Mungu anatangazwa hakuna kitu kigumu kama kuwa na roho wa Mungu hapa duniani,maana utaishi kama malika,
Maana yule kumtunza ni noma ni ngumu,na huwezi kumpata kizembe kumbuka shetani ni Roho,
Na Mungu na shetani ni washikaji,sehemu ambapo yupo Mungu shetani akosi,
Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…