tukulu
Member
- Jul 29, 2015
- 98
- 74
Moja UWATA siyo dhehebu na hakuna thehebu kama hilo ni fellowship kama ilivyo tafes au tycs kingine hizo taratibu za UWATA unazifahamu? Kama huzifahamu wawezaje kuwabeza au kuwasema vibaya kwa hisia zako tu? Huoni kama unamkosea Mungu maana Mungu anaitaka mtu wake aivae kweli. Na uongo ni wa ibilisi kusema kitu usichokijua unaona ni sahihi ?Kimaa
kiufupi ukisha mkiri Kristo Yesu kua ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako na ukaamini kupitia njia ya msalaba ulipewa msamahawa dhambi,
mosi una uzima wa milele
pili unafanyika kua mwana
then unatapokea ubatizo wa roho mtakatifu then utaenenda kwa imani na sio kwa amri kumi mlizo jipunguzia kutoka kwenye zile zaidi ya 600 na kanuni zake.
Torati ni mauti iliyoletwa kwa mkono wa Musa
bali Neema ni uzima wa milele kwa njia ya
Kristo Yesu
wakristo wengi hujiita Wakristo ila sio wa yule Kristo hapo inahitajika kweli iwafikie ili
mpractise uhalisia wa maisha ya Ukristo yaani kuenenda kwa imani ili upate matokeo ya kiuungu
nje ya hapo hivi viroja vya UWATA na takataka za madhehebu yenu mtaishia kuimba pambio na mtakua mateka na kushindwa kufaidi ufalme aliohubiri Yesu kua umefika na tubuni
(badili mnavyofikiri) na muamini habari njema nyie bado watumwa wakati the Super Power is inside you huhitaji kenge yeyote akuburuze
nimeandika kiufupi sana kwa jumla maana vikianza vifungu hapatatosha!
wake up you Child of Light!