UWATA wamesambaratisha familia yetu

UWATA wamesambaratisha familia yetu

NILIPATA KUISHI JIRANI NA WAUMINI WA KANISA MOJA.
WAO WANA AMINI KUZAA NI DHAMBI
WALE KINA MAMA NI WATU WAZIMA NA HAWANA WATOTO!.

KABLA YA KUWA MUUMINI WA IMANI LAZIMA UWE MTUMWA WA FIKRA NA MAWAZO.
WATU HAO HAWASHAURIKI,
KIBAYA ZAIDI WAO WANAMUAMINI ZAIDI MTUMISHI KULIKO NENO LA MUNGU.

KWA SASA HAPA NCHINI,MWAMPOSA ANA WAFUASI WENGI KULIKO YESU KRISTO
 
Siwatetei Uwata Ila Uwata Nawajua Toka Niko Mtoto Ilianzishwa Na Mzee mmoja Anaitwa Mwakiswalele ilianzishwa Mbeya Karibu Kabisa Na Shule Ya Msingi Maanga

Uwata Huenda Wamebadilika Lakini UWATA ninao Wajua mimi ni Walokole wastaarabu balaa nasema hivi maana mimi nimesoma Shule Ya Msingi Maanga iliyopo Mbeya Mjini Ukishuka tu mlima wa makunguru Au mlima mwanshinga Nawajua Vilivyo Sana Watu Wa Faraghani (UWATA) maana wengine kipindi hicho walikuwa jirani zetu ni Walokole haswa hawavai ovyo na nakumbuka kipindi hicho hata Faraghani kusali ulikuwa unavua viatu sijui kwa sasa.

Sasa Basi Watu Huwa wanabadilika mimi siwezi kungangania uwata ninayo ifahamu nikiwa mdogo kwamba hata wa sasa wako hivyo hivyo hapana Huenda ni kweli kabisa anayo yasema Mleta Uzi kuwa Uwata wameitenda hivyo hiyo familia na ikawa ndio ni kweli watu wanabadilika ila UWATA YA KIPINDI KILE CHA MZEE MWAKISWALELE ILIKUWA NI BALAA NI ULOKOLE FULL NA UNYENYEKEVU WA HALI YA JUU, NARUDIA TENA UWATA YA KIPINDI KILE CHA MWAKISWALELE NI MFANO MZURI WA MLOKOLE APASAVYO KUWA.
 
Sawa mwanauwata. Huwezi kuona uovu kama uovu u ndani yako. Siwapendi na yaliyotokea ni ushuhuda kwangu.
Asiyependa hana Mungu. 1 Yohana 3:
15 Kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji: nanyi mnajua ya kuwa kila mwuaji hana uzima wa milele ukikaa ndani yake.
 
Siwatetei Uwata Ila Uwata Nawajua Toka Niko Mtoto Ilianzishwa Na Mzee mmoja Anaitwa Mwakiswalele ilianzishwa Mbeya Karibu Kabisa Na Shule Ya Msingi Maanga

Uwata Huenda Wamebadilika Lakini UWATA ninao Wajua mimi ni Walokole wastaarabu balaa nasema hivi maana mimi nimesoma Shule Ya Msingi Maanga iliyopo Mbeya Mjini Ukishuka tu mlima wa makunguru Au mlima mwanshinga Nawajua Vilivyo Sana Watu Wa Faraghani (UWATA) maana wengine kipindi hicho walikuwa jirani zetu ni Walokole haswa hawavai ovyo na nakumbuka kipindi hicho hata Faraghani kusali ulikuwa unavua viatu sijui kwa sasa.

Sasa Basi Watu Huwa wanabadilika mimi siwezi kungangania uwata ninayo ifahamu nikiwa mdogo kwamba hata wa sasa wako hivyo hivyo hapana Huenda ni kweli kabisa anayo yasema Mleta Uzi kuwa Uwata wameitenda hivyo hiyo familia na ikawa ndio ni kweli watu wanabadilika ila UWATA YA KIPINDI KILE CHA MZEE MWAKISWALELE ILIKUWA NI BALAA NI ULOKOLE FULL NA UNYENYEKEVU WA HALI YA JUU, NARUDIA TENA UWATA YA KIPINDI KILE CHA MWAKISWALELE NI MFANO MZURI WA MLOKOLE APASAVYO KUWA.
Basi hawajabadilika wako hivyo hivyo
 
acha ubishi kenge manyoya ebooo (joking broo)
mkuu hao jamaa wengi ni waumini wa Lutheran, Anglican etc
wana genge lao linaitwa faraghani hukutana kila jioni kwa neno na maombi
wanakanuni ngumu hoooooo!
mosi wanawake huvaa sketi za marinda no kusuka,kuvaa hereni nk
mabwana wanavaa sarawili za vitambaa na bwanga no jeans

ni washika Torati wayahudi wachumba tu
hawaijui Neema ya Mungu wanajua Mungu anachagua watu kwa matendo na tabia njema
na ndio wanaamini hivyo badala ya kumuamini kristo kama kigezo na kielelezo cha ukombozi
pia huomba kwa nguvu wakiamini Yuko mbinguni wakati yupo ndani yao,

kiufupi ni mazuzu wasioijua kweli wanahitaji injili ya kweli wafunguke kifikra!
Hao mazuzu wamechangia kuiharibu familia yangu pia washenzi sana kenge hao!
Pole Sana mkuu, na wewe yamekukuta kumbe? Pamoja na madhaifu Yao yote wanaupendo wa kweli sio wanafiki
 
NILIPATA KUISHI JIRANI NA WAUMINI WA KANISA MOJA.
WAO WANA AMINI KUZAA NI DHAMBI
WALE KINA MAMA NI WATU WAZIMA NA HAWANA WATOTO!.

KABLA YA KUWA MUUMINI WA IMANI LAZIMA UWE MTUMWA WA FIKRA NA MAWAZO.
WATU HAO HAWASHAURIKI,
KIBAYA ZAIDI WAO WANAMUAMINI ZAIDI MTUMISHI KULIKO NENO LA MUNGU.

KWA SASA HAPA NCHINI,MWAMPOSA ANA WAFUASI WENGI KULIKO YESU KRISTO
UWATA wanaamini katika Neno la Mungu, katika kujitenga na uovu, kuhurumia wengine, kufundisha wengine kwa habari ya injili na neema ya Yesu Kristo. Kuwa wokovu ni kwa Yesu tu na si mwingine. Mleta uzi tuwekee ushahidi hapa tumtqfute huyo mzee umwitaye baba dadaake
 
Sio hisia wewe kama sio mpendwa wewe unaambiwa ni wa duniani sasa mi nikajiuliza wenyewe ni wawa wapi uzuri nimekaa nao hata salamu zao za kukumbatiana nazijua
Kumbe nawe ulikuwa mmoja wapo ukashindwa njia yao sasa wawasema vibaya? Huwezi kupata raha kwa kuwasema vibaya.. mtafute Mungu tu waache watu wa Mungu hao
 
Bado huwajui ww
Nina rafiki ni mwanauwata si mtu wa haya yaliyosemwa hapa. Kuna mwingine tunafanya kazi wizara moja ni mtu mwaminifu mno. Hii ya huyu mtoa hoja siyo hiyo ya hawa niwafaamuo. Itakuwa ya kwao au ameamua tu kuwasema vibaya hao watu wa Mungu.
 
Kumbe nawe ulikuwa mmoja wapo ukashindwa njia yao sasa wawasema vibaya? Huwezi kupata raha kwa kuwasema vibaya.. mtafute Mungu tu waache watu wa Mungu hao
Sijawahi kuwa mpendwa nimeishi nao tu japo walinihubiri sana ila usipokuwa mpendwa kwao unaonekana una kila aina ya dhambi.
 
Siwatetei Uwata Ila Uwata Nawajua Toka Niko Mtoto Ilianzishwa Na Mzee mmoja Anaitwa Mwakiswalele ilianzishwa Mbeya Karibu Kabisa Na Shule Ya Msingi Maanga

Uwata Huenda Wamebadilika Lakini UWATA ninao Wajua mimi ni Walokole wastaarabu balaa nasema hivi maana mimi nimesoma Shule Ya Msingi Maanga iliyopo Mbeya Mjini Ukishuka tu mlima wa makunguru Au mlima mwanshinga Nawajua Vilivyo Sana Watu Wa Faraghani (UWATA) maana wengine kipindi hicho walikuwa jirani zetu ni Walokole haswa hawavai ovyo na nakumbuka kipindi hicho hata Faraghani kusali ulikuwa unavua viatu sijui kwa sasa.

Sasa Basi Watu Huwa wanabadilika mimi siwezi kungangania uwata ninayo ifahamu nikiwa mdogo kwamba hata wa sasa wako hivyo hivyo hapana Huenda ni kweli kabisa anayo yasema Mleta Uzi kuwa Uwata wameitenda hivyo hiyo familia na ikawa ndio ni kweli watu wanabadilika ila UWATA YA KIPINDI KILE CHA MZEE MWAKISWALELE ILIKUWA NI BALAA NI ULOKOLE FULL NA UNYENYEKEVU WA HALI YA JUU, NARUDIA TENA UWATA YA KIPINDI KILE CHA MWAKISWALELE NI MFANO MZURI WA MLOKOLE APASAVYO KUWA.
Nilipita Soweto Mbeya nikaonyeshwa huyo jamaa aliopoanzia hiyo huduma yake. Lakini ktk kufuatilia kwa uchache nimeona kama ni cult fulani hivi. Sasa sijui ilibadilika baada ya jamaa kufa au tangu mwanzo maana na wewe unasema ulikuwa mdogo. Halafu kila anayesema alitoka, anasema alitoka akiwa mdogo.
 
...nilijaribu kuingia faraghani kwao, kwanza faraghani ni nyumba inayojengwa kwa minajili ya kukutana na kufanya ibada, waliokuwa pale getini nje wapita njia wakaniambia hairuhusiwi kama siyo mshiriki. Nikajaribu kichungulia nikaona wanacheza kwa kuruka. Nikauliza mawili matatu lakini nikaona kuwa kama siyo member basi huwezi kujua msingi wa Imani yao. Sasa hii inaweza kuwa cult maana cult wana sifa hizo kuwa ili ushiriki nao lazima uwe umekubaliana nao ktk hatua za Imani yao.

Kuhusu mavazi.
Wanavaa kwa heshima sana. Wanawake lazima wavae sketi au gauni zenye marinda hilo ni kweli.pia nilisikia wanawake hawavai sidiria ila huvaa vest tuu kwa ndani. Wanaume jinsi hawavai. Inshu ya mavazi nafkiri ni kama waoentekoste tuu Sina shida na mavazi yao au mwonekano wao wa nje. Kwa kuwa jinsi wanavyooonekana au kuvaa ni sawasawa kabisaa na mazoea au maelekezo ya uvaaji ya walokole au wapentekoste wengine ( isipokuwa Malinda hii si Sheria kwa wapentekoste kuwa lazima wavae Malinda ila nguo lazima imstili mtu).

Natamani kujua msingi wa Imani yao na makatazo yao, si kwa kuambiwa bali kwa kushiriki nao farajani au ktk makusanyiko yao.
 
Born catholic, living catholic, dying catholic!
 
Pole Sana mkuu, na wewe yamekukuta kumbe? Pamoja na madhaifu Yao yote wanaupendo wa kweli sio wanafiki
upendo wao ni kwa wapendwa wenzao tu kiufupi ni wanafiki kama mafarisayo,kiufupi
siwahukumu ila nawaombea Roho Mtakatifu awafungue macho na roho waijue kweli ya Kristo
ili waufaidi ufalme wa Mungu,
kuna mambo wapo wrong japo wanatafuta na kufuata njia ya kweli
all in all ni wana wa nuru nawapenda ila wanahitaji ukombozi wa fikra!
 
Shida Sio uwata shida ni kukurupukia Dini ukubwani akakutana na wajanja.Mwache afilisike aone Kama uwata watakuwano tena
 
Freemason unawakwepaje Sasa kwa kutotumia Dola, wakati pesa zote za Dunia ni wao bank zote ni zao simu zote ni wao
 
Kamuokoe baba yako Kama ni jinsia ya me nenda na masera kakamateni mzee mrudishen home kinguvu ,nawajua hao wana imani kali Kama alishabab hata Kama mtu ulikuwa unavaa smart kivip lazima uanze kuvaa manguo yao yale makubwa cha kushangaza wana mirad mikubwa mbeya Kama shule na hospital saiz wako kuporomosha ghorofa makao makuu yao hiz iman kaz kweli kweli
Baba yangu walianza kumtenga hivi juzi tuu lakini baada ya kusikia anakaribia kupata deal kubwa wakamrudisha kwa nguvu mpk kumpeleka wodi ya vichaa wakidai amechanganyikiwa… hawa watu wananijeruhi jamani vile tuu I can’t explain everything in details ila ni MASHETANI mambwa kabisa
 
Back
Top Bottom