UWATA wamesambaratisha familia yetu

UWATA wamesambaratisha familia yetu

Hizi ni chuki kuzaa,ni mihamu yako na Kukosa elimu ya uzazi,
Naongea nacho kijua
Kuna mwingine wamemkaba hukohuko kwa kuaminishana uongo wao

Mpaka ameuza nyumba hela zilivoisha kakimbia kaacha watoto wamekuwa vibaka
 
1. Kuhusu kuwa dhehebu au kutokuwa dhehebu iyo si juu yangu lakini najua baba yangu huenda faraghani kila siku na ni ratiba ya uwata!
2. Baba yangu alifunga ndoa baada ya kujiunga huko uwata na mwanamke waliyemchagulia, wasimamizi wa ndoa ni kutoka uwata na kama hawakuwa na maslahi na ndoa hiyo kwanini waende wakafungishe mkoa mwengine tena kwa uwongo mkubwa kwamba baba hana ndugu wala wazazi!
3. Kujiunga nao ni hiyari. Kutoka je!?
4. Wanaamini familia iliumbwa na Mungu? Iweje leo sisi hatuko na baba yetu kwanini wasimhubirie arudi nyumbani?
5. Mwisho hawa ni uwata, huvaa manguo ya marinda na masuruali yenye upanga makao yao makuu ni mbeya
Je hao uwata wanafungisha ndoa?
Je baba yako ni mtoto?

Unasema baba yako ana shida ya afya ya akili? UWATA wakamfungisha ndoa?

Mpaka hapo kuna walakini kwa hili andiko lako jamaa.

Kwa habari ya kujua ratiba zao hilo ni jambo la kawaida maana wanaishi katika jamii zetu.

Au ulitaka wajifiche? Kama wanasali kwa ratiba zao waliojipangia tu na unawaona wabaya wangejificha si ndio ungewananga zaidi ya hapa?

Okay swali langu upo kanisa gani? Kwanini mama yako hakuzuia hiyo ndoa? Au hata wewe?

Kwanini hukwenda mahakamani? Ili mahakama ikupe haki au iingilie kati?
 
Soma thread wewe sio unarukaruka kama umewekwa pilipili
 
Nimesoma na nimetaka anijibu maana kama ni ndoa makanisa yamo ndani ya umoja fulani.. mfano cct, nk

Na malalamiko ya ndoa ni kitu serious. Na hakuna fellowship zinafungisha ndoa.
 
Unaijua fellowship inaitwa NLC
New life in christ?

Kaulize kama hawafungishi ndoa

Uwata nachojua hawafungishi ndoa
Ndoa unafunga kanisani kwako then mnanyooka moja kwa moja kanisani kwao (faraghani) kuendeleza na utaratibu wao
 
Nimesoma na nimetaka anijibu maana kama ni ndoa makanisa yamo ndani ya umoja fulani.. mfano cct, nk

Na malalamiko ya ndoa ni kitu serious. Na hakuna fellowship zinafungisha ndoa.
Shinikizo na ushabiki ni kutoka kwao kuhusu kanisa nilishasema mapingamizi yaliwekwa hapa dar lakini cha kushangaza ndoa ikafungwa mkoa mwingine. Wao kama watu wa dini/mungu walikuwa na maslahi gani mpk waspearhead kitu fishy kama hicho. Ati ndoa ya kanisani ifungwe haraka na kwa ulazima mpk pete zikosekane🚮. Mtatetea hicho kikosi chenu kwa namna yoyote ile lakini mkae mkijua ninyi ni waharibifu
 
Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu hilo, basi wakaanza kwenda wote faraghani na hata ilipofika wakati wa kurudi Dar(nyumbani) baba hakufika kabisa nyumbani na baada ya muda tukasikia amepatiwa mke kanisani na hivyo anafunga nae ndoa ( hakuwa anashaurika tena na tuliona walakini kwenye mental health yake, hakuwa tena kama zamani).

Ndugu zake pamoja na mama walijitahidi kuweka mapingamizi kwenye makanisa ya Dar hivyo hawakuweza kufunga ndoa hapa dar ikawalazimu ndoa ifungwe Morogoro tena wazazi fake walisimama kwa upande wa baba yangu umma ukidanganywa baba yangu wazazi wake wamefariki ilhali wako hai. Aliporudi mambo yalikuwa mabaya zaidi kwenye biashara zake mambo yakabadilika alifukuza wafanyakazi wake wote mpaka ndugu zake wa damu na kuajiri watu kutoka Uwata, alikataa malipo kwa njia ya dollar kwa kusema kwamba ni ushetani, wateja walimkimbia na kumwita kichaa! 😭 pesa alizofanikiwa kupata tunasikia amewekeza kwenye vitegauchumi vya UWATA… alipokuwa akija nyumbani kutusalimia ilimbidi aende kanisani akaungame kwa maana amefanya dhambi( huko walimbatiza mama yangu jina dellilah na kwamba yeye ni mchawi!😢) hata ilipobidi ndugu kwenda kumuona ofisini kwake ni lazima hao watu wa uwata nao wawepo hapo ofisini kusikiliza 🤦🏿.

Hali yake kiuchumi imekuwa mbaya mno waliomjua zamani na sasa wanahuzunika. Alikuwa baba, kaka, mume na mtu bora sana nitawalaumu UWATA siku zote za maisha yangu kwa kuwakosesha malezi ya baba wadogo zangu kwa maana si mapenzi tuu hata huduma hapaswi kutoa kwa watoto waliozaliwa na delila!
UWATA ndio wakina nani? Au wakina mkubwa fella?
 
1. Kuhusu kuwa dhehebu au kutokuwa dhehebu iyo si juu yangu lakini najua baba yangu huenda faraghani kila siku na ni ratiba ya uwata!
2. Baba yangu alifunga ndoa baada ya kujiunga huko uwata na mwanamke waliyemchagulia, wasimamizi wa ndoa ni kutoka uwata na kama hawakuwa na maslahi na ndoa hiyo kwanini waende wakafungishe mkoa mwengine tena kwa uwongo mkubwa kwamba baba hana ndugu wala wazazi!
3. Kujiunga nao ni hiyari. Kutoka je!?
4. Wanaamini familia iliumbwa na Mungu? Iweje leo sisi hatuko na baba yetu kwanini wasimhubirie arudi nyumbani?
5. Mwisho hawa ni uwata, huvaa manguo ya marinda na masuruali yenye upanga makao yao makuu ni mbeya
Sasa kama baba yako kuwa na dhehebu au kutokuwa na dhehebu si juu yako maamuzi yake unaihusishaje fellowship au taasisi?

Unasema alifunga ndoa baada ya kujiunga UWATA kwa hiyo hakuwa na ndoa hapo kabla sasa hapo UWATA inahusikaje kwa yeye kutokuwa na ndoa? Unasema walimchagulia mwanamke naye akakubali pasipo kulazimishwa na akaingia ndoani sasa hapo shida iko wapi? Napata shida kuelewa tatizo liko wapi hapo. Maana mpaka hapo UWATA hawana ubaya wowote. Au ulitaka wamlazimishe huyo mzee umwitaye baba yako aoe utakaye? Kwanini hukumpelekea huyo umwitaye baba yako proposal?

Kujiunga ni hiyari na kutoka ni hiyari pia katika UWATA hawalazimishi kuamini. Ila ukijiunga utafuata katiba yao. Iko wizara ya mambo ya ndani.

Kuhusu kumhubiria arudi nyumbani nikuulize tu sasa hivi anaishi UWATA au anaishi kwake na mke wake? Kama anaishi UWATA hapo fuatilia. Kama anaishi kwake na mkewe UWATA imwambie arudi nyumbani wapi na yeye yupo kwake?

Kuvaa suruali na sketi za marinda ziwe kubwa au ndogo hapo kuna kosa gani?
 
Je hao uwata wanafungisha ndoa?
Je baba yako ni mtoto?

Unasema baba yako ana shida ya afya ya akili? UWATA wakamfungisha ndoa?

Mpaka hapo kuna walakini kwa hili andiko lako jamaa.

Kwa habari ya kujua ratiba zao hilo ni jambo la kawaida maana wanaishi katika jamii zetu.

Au ulitaka wajifiche? Kama wanasali kwa ratiba zao waliojipangia tu na unawaona wabaya wangejificha si ndio ungewananga zaidi ya hapa?

Okay swali langu upo kanisa gani? Kwanini mama yako hakuzuia hiyo ndoa? Au hata wewe?

Kwanini hukwenda mahakamani? Ili mahakama ikupe haki au iingilie kati
Sasa kama baba yako kuwa na dhehebu au kutokuwa na dhehebu si juu yako maamuzi yake unaihusishaje fellowship au taasisi?

Unasema alifunga ndoa baada ya kujiunga UWATA kwa hiyo hakuwa na ndoa hapo kabla sasa hapo UWATA inahusikaje kwa yeye kutokuwa na ndoa? Unasema walimchagulia mwanamke naye akakubali pasipo kulazimishwa na akaingia ndoani sasa hapo shida iko wapi? Napata shida kuelewa tatizo liko wapi hapo. Maana mpaka hapo UWATA hawana ubaya wowote. Au ulitaka wamlazimishe huyo mzee umwitaye baba yako aoe utakaye? Kwanini hukumpelekea huyo umwitaye baba yako proposal?

Kujiunga ni hiyari na kutoka ni hiyari pia katika UWATA hawalazimishi kuamini. Ila ukijiunga utafuata katiba yao. Iko wizara ya mambo ya ndani.

Kuhusu kumhubiria arudi nyumbani nikuulize tu sasa hivi anaishi UWATA au anaishi kwake na mke wake? Kama anaishi UWATA hapo fuatilia. Kama anaishi kwake na mkewe UWATA imwambie arudi nyumbani wapi na yeye yupo kwake?

Kuvaa suruali na sketi za marinda ziwe kubwa au ndogo hapo kuna kosa gani?
Mzee nimuitaye baba yangu? Nenda faraghani mzee hapa si mahali pako
 
Sio kweli
Acha kupotosha watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
acha ubishi kenge manyoya ebooo (joking broo)
mkuu hao jamaa wengi ni waumini wa Lutheran, Anglican etc
wana genge lao linaitwa faraghani hukutana kila jioni kwa neno na maombi
wanakanuni ngumu hoooooo!
mosi wanawake huvaa sketi za marinda no kusuka,kuvaa hereni nk
mabwana wanavaa sarawili za vitambaa na bwanga no jeans

ni washika Torati wayahudi wachumba tu
hawaijui Neema ya Mungu wanajua Mungu anachagua watu kwa matendo na tabia njema
na ndio wanaamini hivyo badala ya kumuamini kristo kama kigezo na kielelezo cha ukombozi
pia huomba kwa nguvu wakiamini Yuko mbinguni wakati yupo ndani yao,

kiufupi ni mazuzu wasioijua kweli wanahitaji injili ya kweli wafunguke kifikra!
Hao mazuzu wamechangia kuiharibu familia yangu pia washenzi sana kenge hao!
 
Shinikizo na ushabiki ni kutoka kwao kuhusu kanisa nilishasema mapingamizi yaliwekwa hapa dar lakini cha kushangaza ndoa ikafungwa mkoa mwingine. Wao kama watu wa dini/mungu walikuwa na maslahi gani mpk waspearhead kitu fishy kama hicho. Ati ndoa ya kanisani ifungwe haraka na kwa ulazima mpk pete zikosekane🚮. Mtatetea hicho kikosi chenu kwa namna yoyote ile lakini mkae mkijua ninyi ni waharibifu
Basi kwa
Sio hisia wewe kama sio mpendwa wewe unaambiwa ni wa duniani sasa mi nikajiuliza wenyewe ni wawa wapi uzuri nimekaa nao hata salamu zao za kukumbatiana nazijua
Kwa hiyo kwa sababu hukukumbatiwa basi ni wabaya sana?
 
Umesahau ya kuamka usiku saa tisa kuomba kwa sauti kuu.
 
“Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa”

Matapeli wengi wamejificha kwenye mgongo wa dini, pole sana.

Kuna mdada single maza wa watoto watatu, kila mtoto na baba yake, aliwafukuza watoto wake kisa kaambiwa na mchungaji kazaa na mapepo kwahiyo watoto wake nao ni mapepo. Kukosa msaada wa majirani kuita polisi wamkamate wale watoto wangekufa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shinikizo na ushabiki ni kutoka kwao kuhusu kanisa nilishasema mapingamizi yaliwekwa hapa dar lakini cha kushangaza ndoa ikafungwa mkoa mwingine. Wao kama watu wa dini/mungu walikuwa na maslahi gani mpk waspearhead kitu fishy kama hicho. Ati ndoa ya kanisani ifungwe haraka na kwa ulazima mpk pete zikosekane🚮. Mtatetea hicho kikosi chenu kwa namna yoyote ile lakini mkae mkijua ninyi ni waharibifu
Basi kwa
Sio hisia wewe kama sio mpendwa wewe unaambiwa ni wa duniani sasa mi nikajiuliza wenyewe ni wawa wapi uzuri nimekaa nao hata salamu zao za kukumbatiana nazijua
Kwa hiyo kwa sababu hukukumbatiwa basi ni wabaya sana
acha ubishi kenge manyoya ebooo (joking broo)
mkuu hao jamaa wengi ni waumini wa Lutheran, Anglican etc
wana genge lao linaitwa faraghani hukutana kila jioni kwa neno na maombi
wanakanuni ngumu hoooooo!
mosi wanawake huvaa sketi za marinda no kusuka,kuvaa hereni nk
mabwana wanavaa sarawili za vitambaa na bwanga no jeans

ni washika Torati wayahudi wachumba tu
hawaijui Neema ya Mungu wanajua Mungu anachagua watu kwa matendo na tabia njema
na ndio wanaamini hivyo badala ya kumuamini kristo kama kigezo na kielelezo cha ukombozi
pia huomba kwa nguvu wakiamini Yuko mbinguni wakati yupo ndani yao,

kiufupi ni mazuzu wasioijua kweli wanahitaji injili ya kweli wafunguke kifikra!
Hao mazuzu wamechangia kuiharibu familia yangu pia washenzi sana kenge hao!
Naomba badhi ya kanuni zao na uzuzu wao

Pia umesema hawajui neema ya Mungu naomba kujua kimaandiko neema ya Mungu ni nini?

Pia wanashikaje torati, bado wanachinja mbuzi na kondoo na ng'ombe ? Kama sadaka ya kuondoa dhambi?
 
Kuna mwanafunzi wa uwataa, alikua anajifanya mtoa neno sanaa, sasa akataka na mie anipande kichwaniii, mbna toka pale ananiogopa km ukomaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pumbavuu zake mbwaa yulee, Dini anaijua pekee yakee,
Na nilimfurushaa kweli kweli, alijuta kuparamia watu hovyo.
Mxiiiiieeeeeew.
 
Basi kwa

Kwa hiyo kwa sababu hukukumbatiwa basi ni wabaya sana?
Heri yako wewe umekumbatiwa. I’m done with you maana hata mngetaka kunikumbatia nisingekubali. Nyinyi ni mashetani. Na huyo mtu endeleeni kumng’ang’ani mkimchoka mkumbusheni sisi hatukumchoka.
 
Back
Top Bottom