UWATA wamesambaratisha familia yetu

UWATA wamesambaratisha familia yetu

Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu hilo, basi wakaanza kwenda wote faraghani na hata ilipofika wakati wa kurudi Dar(nyumbani) baba hakufika kabisa nyumbani na baada ya muda tukasikia amepatiwa mke kanisani na hivyo anafunga nae ndoa ( hakuwa anashaurika tena na tuliona walakini kwenye mental health yake, hakuwa tena kama zamani).

Ndugu zake pamoja na mama walijitahidi kuweka mapingamizi kwenye makanisa ya Dar hivyo hawakuweza kufunga ndoa hapa dar ikawalazimu ndoa ifungwe Morogoro tena wazazi fake walisimama kwa upande wa baba yangu umma ukidanganywa baba yangu wazazi wake wamefariki ilhali wako hai. Aliporudi mambo yalikuwa mabaya zaidi kwenye biashara zake mambo yakabadilika alifukuza wafanyakazi wake wote mpaka ndugu zake wa damu na kuajiri watu kutoka Uwata, alikataa malipo kwa njia ya dollar kwa kusema kwamba ni ushetani, wateja walimkimbia na kumwita kichaa! [emoji24] pesa alizofanikiwa kupata tunasikia amewekeza kwenye vitegauchumi vya UWATA… alipokuwa akija nyumbani kutusalimia ilimbidi aende kanisani akaungame kwa maana amefanya dhambi( huko walimbatiza mama yangu jina dellilah na kwamba yeye ni mchawi![emoji22]) hata ilipobidi ndugu kwenda kumuona ofisini kwake ni lazima hao watu wa uwata nao wawepo hapo ofisini kusikiliza [emoji1746].

Hali yake kiuchumi imekuwa mbaya mno waliomjua zamani na sasa wanahuzunika. Alikuwa baba, kaka, mume na mtu bora sana nitawalaumu UWATA siku zote za maisha yangu kwa kuwakosesha malezi ya baba wadogo zangu kwa maana si mapenzi tuu hata huduma hapaswi kutoa kwa watoto waliozaliwa na delila!
Ngoja waje wanajifanya fyoofyoo sijui nini na nini

Sometimes naonaga Kiranga ana mantiki sana

Walokole wanafiki na Wana roho mbaya kinoma
 
Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu hilo, basi wakaanza kwenda wote faraghani na hata ilipofika wakati wa kurudi Dar(nyumbani) baba hakufika kabisa nyumbani na baada ya muda tukasikia amepatiwa mke kanisani na hivyo anafunga nae ndoa ( hakuwa anashaurika tena na tuliona walakini kwenye mental health yake, hakuwa tena kama zamani).

Ndugu zake pamoja na mama walijitahidi kuweka mapingamizi kwenye makanisa ya Dar hivyo hawakuweza kufunga ndoa hapa dar ikawalazimu ndoa ifungwe Morogoro tena wazazi fake walisimama kwa upande wa baba yangu umma ukidanganywa baba yangu wazazi wake wamefariki ilhali wako hai. Aliporudi mambo yalikuwa mabaya zaidi kwenye biashara zake mambo yakabadilika alifukuza wafanyakazi wake wote mpaka ndugu zake wa damu na kuajiri watu kutoka Uwata, alikataa malipo kwa njia ya dollar kwa kusema kwamba ni ushetani, wateja walimkimbia na kumwita kichaa! 😭 pesa alizofanikiwa kupata tunasikia amewekeza kwenye vitegauchumi vya UWATA… alipokuwa akija nyumbani kutusalimia ilimbidi aende kanisani akaungame kwa maana amefanya dhambi( huko walimbatiza mama yangu jina dellilah na kwamba yeye ni mchawi!😢) hata ilipobidi ndugu kwenda kumuona ofisini kwake ni lazima hao watu wa uwata nao wawepo hapo ofisini kusikiliza 🤦🏿.

Hali yake kiuchumi imekuwa mbaya mno waliomjua zamani na sasa wanahuzunika. Alikuwa baba, kaka, mume na mtu bora sana nitawalaumu UWATA siku zote za maisha yangu kwa kuwakosesha malezi ya baba wadogo zangu kwa maana si mapenzi tuu hata huduma hapaswi kutoa kwa watoto waliozaliwa na delila!
Imani ni shambulio la akili.
 
Hapa kuna uongo mwingi ndugu mtoa post. Kwanza UWATA si dhehebu bali ni kikundi cha watu wa madhehebu mbali mbali wanaojumuika pamoja kusali (fellowship). Kila mtu husali kanisani kwake. Hawafungishi ndoa wala hawabatizi, ndoa utafungisha kanisani kwako (katika madhehebu yako) ni watu wanaoheshimu dini za watu wengine na ni watii. Ni watu wasiopenda kuumiza wengine kabisa. Kujiunga na fellowship yao ni hiyari.

Wanachoamini.
1. Biblia ni NENO la Mungu. Hivyo kila ajiungae huamini hivi si kwa kulazimishwa bali kwa kujua hivyo na kuamini mwenyewe.

2. Mwanauwata anaamini kuwa YESU Kristo ni mwana wa Mungu alizaliwa, akaileta injili kwa ajili ya kumkomboa yeyote amwaminie, akasulubiwa msalabani akafa akazikwa akafufuka na yu hai sasa, naye atawahukumu wote ambao hawakumwamini na kuishi uovu.
3. Wanaamini wokovu ni kwa Yesu tu , na kuufikia ni kutubu, yaani kuungama dhambi na kuzicha. Biblia, Mithali 28:13. Azifichae dhambi zake hatafanikiwa bali yeye aziungamae na kuziacha atapata msamaha.

4. Wanaamini kuwa kuishi wokovu wa Kristo Yesu ni kuwa na amani na watu wote. BIBLIA, Webrania 12:14 Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;

5. Wanaamini kabisa kuwa familia ilianzishwa na Mungu, hivyo wao hawawezi kamwe kufusa ama kuharibu familia.

Kwa haya tu sidhani kama ndio hao au ni impersonation imefanywa na hao watu wabaya wanaojiita uwata lakini si UWATA niwafahamuo.
 
Sawa mwanauwata. Huwezi kuona uovu kama uovu u ndani yako. Siwapendi na yaliyotokea ni ushuhuda kwangu.
 
1. Kuhusu kuwa dhehebu au kutokuwa dhehebu iyo si juu yangu lakini najua baba yangu huenda faraghani kila siku na ni ratiba ya uwata!
2. Baba yangu alifunga ndoa baada ya kujiunga huko uwata na mwanamke waliyemchagulia, wasimamizi wa ndoa ni kutoka uwata na kama hawakuwa na maslahi na ndoa hiyo kwanini waende wakafungishe mkoa mwengine tena kwa uwongo mkubwa kwamba baba hana ndugu wala wazazi!
3. Kujiunga nao ni hiyari. Kutoka je!?
4. Wanaamini familia iliumbwa na Mungu? Iweje leo sisi hatuko na baba yetu kwanini wasimhubirie arudi nyumbani?
5. Mwisho hawa ni uwata, huvaa manguo ya marinda na masuruali yenye upanga makao yao makuu ni mbeya
 
Hii iliwahi tokea pale mbezi ila ni kwa mke kukimbia familia na kuhamia kanisa ikisa wanamwambia kuwa watu ambao hawajajiunga hapo kanisani ni wafuasi wa shetani.
Ila baadaye walimgeuka maana alikuwa napeleka pesa za mumewe baada ya kuondoka mmewe akajaribu kumrudisha ikashindikana akamove on na watoto pesa ilipoisha kanisani wakaanza kumnyanyasa na kumtenga akili ikaanza mkaa mume naye akawa hamtaki tena
 
Acha blablaa we dogoo
Kwani sisi hatuwaoni huku mtaani nyie wa uwata?

Zamani mlkuwa mnasali kwa makelele mnapiga kama mayoe na miruzi
Mlikuwa mnaboa mno mtaani

Mnamtindo wa kukaa nyumba moja watu zaidi ya 50 na akipatikana tajiri mnahakikisha mmemnyonya abaki hana hata jero
 
Baba yangu walianza kumtenga hivi juzi tuu lakini baada ya kusikia anakaribia kupata deal kubwa wakamrudisha kwa nguvu mpk kumpeleka wodi ya vichaa wakidai amechanganyikiwa… hawa watu wananijeruhi jamani vile tuu I can’t explain everything in details ila ni MASHETANI mambwa kabisa
 
Acha blablaa we dogoo
Kwani sisi hatuwaoni huku mtaani nyie wa uwata?

Zamani mlkuwa mnasali kwa makelele mnapiga kama mayoe na miruzi
Mlikuwa mnaboa mno mtaani

Mnamtindo wa kukaa nyumba moja watu zaidi ya 50 na akipatikana tajiri mnahakikisha mmemnyonya abaki hana hata jero
Hii ni kweli jamaniii😭😭😭😭😭😭
 
Kwani hao UWATA ni madhehebu gani? Mbona inasound kama chama cha kitume cha wanawake ndani ya kanisa Katoliki?
Nilivyowafahamu mimi UWATA, mtu anaendelea na dhehebu lake kama kawaida kama ni RC, Anglican, KKKT nk ila kuna muda hasa jioni wanakwenda kukutana ili kuabudu kwa mapana zaidi katika sehemu nyengine wanaita hekaluni.
 
1. Kuhusu kuwa dhehebu au kutokuwa dhehebu iyo si juu yangu lakini najua baba yangu huenda faraghani kila siku na ni ratiba ya uwata!
2. Baba yangu alifunga ndoa baada ya kujiunga huko uwata na mwanamke waliyemchagulia, wasimamizi wa ndoa ni kutoka uwata na kama hawakuwa na maslahi na ndoa hiyo kwanini waende wakafungishe mkoa mwengine tena kwa uwongo mkubwa kwamba baba hana ndugu wala wazazi!
3. Kujiunga nao ni hiyari. Kutoka je!?
4. Wanaamini familia iliumbwa na Mungu? Iweje leo sisi hatuko na baba yetu kwanini wasimhubirie arudi nyumbani?
5. Mwisho hawa ni uwata, huvaa manguo ya marinda na masuruali yenye upanga makao yao makuu ni mbeya
Nawafahamu kwa Sehemu, kwa ninavyo wafahamu mengi uliyoongea ni chuki binafsi au chuki na kikundi chao,
Najua wanaumoja sana ila hawavunji ndoa ,kwasababu nawafahamu watu kadhaa wanaosali huko na wana ndoa na watu wa madhehebu mengine,
Kuhusu nguo ni chuki binafsi, wanavaa kiheshima sana kama waisilamu au masista sema hawavai uchungu tu, hawasuki kama wasabato,hawavai heleni na hawana mambo mengi na hata wanaume hawavai vbya,
Ni kikundi cha kilokole ndio na si kanisa

Mwisho
Inawezekana kabla ya huyo kufunga ndoa ndoa ilikuwa na shida, na mahusiano yenu ya familia yapo na shida pia
 
Back
Top Bottom