UWATA wamesambaratisha familia yetu

UWATA wamesambaratisha familia yetu

Unaposema mwl bora Kyela nzima unamaanisha nini? Katika aspect ipi? Ana evidence ya ku9nesha uboea wake e.g vyeti, nishani au appreciation yeyote kutoka TAMISEMI? Nditlye anayetoa T.A's miaka yote? Mi sijakuelewa bado chief, nieleweshe

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kuanzia mwaka 2017 shule yake ni ya kwanza tuu kiwilaya na ni ya kata.
 
Ufalme wa Mungu hapa duniani wamaanisha nini? Au ni uhuru wataka wa kuzini wataka uambiwe usizini?

Kingine ulisha sali kwao? Tupe uhakika kuwa ni cult. Kwa uthibitisho.

Wanaposema Mungu anasema nao ni kwa muktadha gani.

Tupe evidence la si hivyo ni chuki kwao. Tuwekee evidence hapa.

Kama huna basi futa comments za chuki kwa hao.

mpaka hapo inaonesha ni namna gani Waafrika mlivamia dini za kuja bila kujua uhalisia ulivyo,

kama na wewe unajiita Mkristo na hujui God Kingdom iliyohubiriwa na Kristo Yesu bado upo kizani na unaungana na wafuata dini wenzio vipofu,

nakushauri unahitaji kweli usiwe blind!
 
Nimekuuliza swali simple unaanza kunitusi, mkristo gani wewe huwezi eleza kile ulichonacho, mkristo ninavyojua kwa kusoma maandiko ni mnyenyekevu, ni mwenye fadhili maana upendo wa Mungu unakaa kwake. Hutoa maneno yafaayo. Huieleza imani yake kwa kueleweka. Sasa nakuuliza unieleweshe halafu hujui hata kwa habari uliyoniambia ya ufalme wa mbinguni? Badala yake wanikejeli? Toa maana zungumza kwa evidence basi kuhusu hao UWATA kama umeshindwa kuniambia kuhusu ufalme wa mbinguni ni kitu gani. Leta evidence usiropoke hisia zako nitaona ni chuki tuu
 
Ila UWATA kule wao kila mtu ni mchawi,niliwahi kwenda mara kadhaa nilipokuwa mdogo,mama yangu alikuwa anasali huko aisee kila ndugu yake,jirani aliambiwa ni mchawi,mama akatoa mpaka moja ya nyumba zetu zilizokuwa zinamuingizia pesa ili liwe kanisa,mwishoni alikuwa kama amechanganyikiwa ila Uwata hapana kwakweli. RIP mom
 
Nimekuuliza swali simple unaanza kunitusi, mkristo gani wewe huwezi eleza kile ulichonacho, mkristo ninavyojua kwa kusoma maandiko ni mnyenyekevu, ni mwenye fadhili maana upendo wa Mungu unakaa kwake. Hutoa maneno yafaayo. Huieleza imani yake kwa kueleweka. Sasa nakuuliza unieleweshe halafu hujui hata kwa habari uliyoniambia ya ufalme wa mbinguni? Badala yake wanikejeli? Toa maana zungumza kwa evidence basi kuhusu hao UWATA kama umeshindwa kuniambia kuhusu ufalme wa mbinguni ni kitu gani. Leta evidence usiropoke hisia zako nitaona ni chuki tuu
fear of unknown wapi umekejeriwa?
kingine huo unyenyekevu unaousemea ni wa kinafiki mpelekee baba paroko Yesu mwenyewe alipindua meza za biashara hekaluni na kuwafokea machinga wajinga wa enzi hizo ,
kingine siwezi weka mambo yao hapa hapatatosha mkubwa kwanza ni nonsens kuwazungumzia watu mental ila jua tu wana mindset mfu!
 
Nawafahamu kwa Sehemu, kwa ninavyo wafahamu mengi uliyoongea ni chuki binafsi au chuki na kikundi chao,
Najua wanaumoja sana ila hawavunji ndoa ,kwasababu nawafahamu watu kadhaa wanaosali huko na wana ndoa na watu wa madhehebu mengine,
Kuhusu nguo ni chuki binafsi, wanavaa kiheshima sana kama waisilamu au masista sema hawavai uchungu tu, hawasuki kama wasabato,hawavai heleni na hawana mambo mengi na hata wanaume hawavai vbya,
Ni kikundi cha kilokole ndio na si kanisa

Mwisho
Inawezekana kabla ya huyo kufunga ndoa ndoa ilikuwa na shida, na mahusiano yenu ya familia yapo na shida pia
Aisee nyie watu ni washenz sana yaaan unasema kabisa yawezekana ndoa ilikuwa na shida so sulihisho ni kuoa mke mpya. Ingekuwa Mimi majibu mngepata mapemaa. Nisingekubali familia yangu tu iharibike ningewachunguza niwajue vinara nije na jibu la jumla.
 
Nyie watu wapi nani kakwambia mm wa uwata?? Mm naongelea ninalolifahamu .......na cpo kwny jamii yao na kuna watu wananifahamu huku mm ni mkkt Original but ninachofahanu hawafungishi ndoa sasa y wawasingizie
 
Huh ni uongo,uongo ni Dhambi na ikuukumu,
Mm si wauwata ila kutokana na kuishi nao na kusali mara chache utotoni nakili huu ni uongo,
Watu wa uwata hutakaa uwaone baa-tofaut na makanisa mengine
Hutakaa usikie sijui kaenda kea Mganga
Sijui kafumaniwa na mke wa mtu
Sijui anapigana,
Sijui anakula rushwa,
Sijui ANAZINI, amekutwa guest may be awe ameacha uwata .

Na niseme jambo ipo HV kama unahisi natania Mtu akaungane nao hata kwa upelelezi hata miezi kichache uone?
Na mwisho ukiingia uwata yakubidi uamue kweli maana huwezi kufanya dhambi na kesho ukarudi urudi ,utafukuzwa!
Labda nitolee mfano kuna yule memba anaitwa leftyie worldie aliandika uzi wake wa maswala ya freemason akitanabisha njian ya kunifata shetani ilivyo ngumu.na ya kujikana

The same na njia ya kumfata Mungu ni ngumu,
Simple ipo hivi yesu alisema anayetaka kunifata ajitwike msalaba wake na anifuate,
Ukiona mtu anaiponda sana haijui na hajawai sali huko,
Yesu alisema anayetaka kunifata ajitwike msalaba na anifuate,
Kwa hiyo, sheria walizo jiwekea uwata ni sheria zinazowaweka mbali na uovu,kumkiri yesu akutoshi kukufikisha Mbinguni,
Yakupaswa ujikane haswa siyo leo unamkiri yesu kesho ujaingia gest na mke wa Mtu.hapo unacheza na ndio makanisa mengi yapo hivyo kea uwata ni big no! Haiwezekani.
Na katika makanisa machache ambayo shetani ameshindwa kungulia ni Uwata,unajua y ni kuwa Wanasheria ngumu za kuacha dhambi.

Mfano china ,China Wanasheria ngumu za rushwa na madawa ndo mana ni ngumu kuingiza madawa huko tofauti na Colombia sisemi hayaingiii but ni ngumu.

Shule kama fedha,mazinde ,marian, n.k Wanasheria ngumu iwa mwanafunzi wapo strictly ili wamentain ufaulishaji,
Na the same tu uwata Wanasheria Ngumu ili wamentain kufika mbinguni.
Na hata siku moja huwezi enda uwata ukaambiwa pokea muujiza wagari ,sijui nyumba ,sijui mke uwo upuuzi hawana kule ni jambo moja tu utafundishwa kwenda mbinguni,
Na niongezee Yesu kusema amekuja kutenguwa torati bali kuitimiliza,
Biblia linasema "Neno la Mungu linasema,Bwana awajua walio wake na kila alitajae jina la Bwana na auache uovu" ndio Msingi wao so ukiwa na uovu huwezi kubaki uwata ,ukiwa eti sijui unazini leo kesho unarudi kanisani uwata si madhara pako,
Sijui unasengenya leo unarudi uwata utapasikia ,
#Ndomana wengi wameshindwa kuendana nao na wamebaki kuponda

Kuhusu uchawi upo ,na wachawi wapo na ni wengi ,ni jukumu la watu wa Mungu kupambana nao.na wengine ni ndugu jamaa na marafiki,ukiwa mchawi ni mchawi full stop,na wachawi wengine wanachangia hapa nawao waonekane wamechangia ,wachawi na watu wa Mungu ni maadui wa kudumu hadi mwisho wa dunia,hakuna mchawi atakaye support neno la Mungu ,na ukiona Mtu anapinga neno la Mungu ujue kama si agent wa kuzini basi mchawi.
. Kuhusu Tv ni uongo watu wa uwata si maskini na wanamaosha na Tv si kitu kwao,ukikuta mtu apendi may be ameamua kibinasfi kuwa hulu litanichelewesha kwenda Mbinguni,
Narudia sipo uwata Na Mungu ni shahidi ,ila nimesali kwao nawajua kwa kiasi ,ila si rahisi kusali kwao kama unadhambi,nawasilisha.

Na mwisho kama mtu kweli kweli ameamua kwenda Mbinguni ,namaanisha umeamua achana na hawa ambao wanataka waume na wake,sijui gari,na nyumba namaanisha walio amua uwata ni sehemu sahihi kwao
Yani hata kuangalia tv Ni dhamb
 
Ila maisha haya ...hizi dini tumeletewa tu jamani tukiziendekeza sana tutakufa maskini ndugu zangu,, pole mwaya endeleeni kumuombea huenda akabadilika😌😌

Huo ni mtazamo wa uwata, hakuna dini ya hivyo
 
Huh ni uongo,uongo ni Dhambi na ikuukumu,
Mm si wauwata ila kutokana na kuishi nao na kusali mara chache utotoni nakili huu ni uongo,
Watu wa uwata hutakaa uwaone baa-tofaut na makanisa mengine
Hutakaa usikie sijui kaenda kea Mganga
Sijui kafumaniwa na mke wa mtu
Sijui anapigana,
Sijui anakula rushwa,
Sijui ANAZINI, amekutwa guest may be awe ameacha uwata .

Na niseme jambo ipo HV kama unahisi natania Mtu akaungane nao hata kwa upelelezi hata miezi kichache uone?
Na mwisho ukiingia uwata yakubidi uamue kweli maana huwezi kufanya dhambi na kesho ukarudi urudi ,utafukuzwa!
Labda nitolee mfano kuna yule memba anaitwa leftyie worldie aliandika uzi wake wa maswala ya freemason akitanabisha njian ya kunifata shetani ilivyo ngumu.na ya kujikana

The same na njia ya kumfata Mungu ni ngumu,
Simple ipo hivi yesu alisema anayetaka kunifata ajitwike msalaba wake na anifuate,
Ukiona mtu anaiponda sana haijui na hajawai sali huko,
Yesu alisema anayetaka kunifata ajitwike msalaba na anifuate,
Kwa hiyo, sheria walizo jiwekea uwata ni sheria zinazowaweka mbali na uovu,kumkiri yesu akutoshi kukufikisha Mbinguni,
Yakupaswa ujikane haswa siyo leo unamkiri yesu kesho ujaingia gest na mke wa Mtu.hapo unacheza na ndio makanisa mengi yapo hivyo kea uwata ni big no! Haiwezekani.
Na katika makanisa machache ambayo shetani ameshindwa kungulia ni Uwata,unajua y ni kuwa Wanasheria ngumu za kuacha dhambi.

Mfano china ,China Wanasheria ngumu za rushwa na madawa ndo mana ni ngumu kuingiza madawa huko tofauti na Colombia sisemi hayaingiii but ni ngumu.

Shule kama fedha,mazinde ,marian, n.k Wanasheria ngumu iwa mwanafunzi wapo strictly ili wamentain ufaulishaji,
Na the same tu uwata Wanasheria Ngumu ili wamentain kufika mbinguni.
Na hata siku moja huwezi enda uwata ukaambiwa pokea muujiza wagari ,sijui nyumba ,sijui mke uwo upuuzi hawana kule ni jambo moja tu utafundishwa kwenda mbinguni,
Na niongezee Yesu kusema amekuja kutenguwa torati bali kuitimiliza,
Biblia linasema "Neno la Mungu linasema,Bwana awajua walio wake na kila alitajae jina la Bwana na auache uovu" ndio Msingi wao so ukiwa na uovu huwezi kubaki uwata ,ukiwa eti sijui unazini leo kesho unarudi kanisani uwata si madhara pako,
Sijui unasengenya leo unarudi uwata utapasikia ,
#Ndomana wengi wameshindwa kuendana nao na wamebaki kuponda

Kuhusu uchawi upo ,na wachawi wapo na ni wengi ,ni jukumu la watu wa Mungu kupambana nao.na wengine ni ndugu jamaa na marafiki,ukiwa mchawi ni mchawi full stop,na wachawi wengine wanachangia hapa nawao waonekane wamechangia ,wachawi na watu wa Mungu ni maadui wa kudumu hadi mwisho wa dunia,hakuna mchawi atakaye support neno la Mungu ,na ukiona Mtu anapinga neno la Mungu ujue kama si agent wa kuzini basi mchawi.
. Kuhusu Tv ni uongo watu wa uwata si maskini na wanamaosha na Tv si kitu kwao,ukikuta mtu apendi may be ameamua kibinasfi kuwa hulu litanichelewesha kwenda Mbinguni,
Narudia sipo uwata Na Mungu ni shahidi ,ila nimesali kwao nawajua kwa kiasi ,ila si rahisi kusali kwao kama unadhambi,nawasilisha.

Na mwisho kama mtu kweli kweli ameamua kwenda Mbinguni ,namaanisha umeamua achana na hawa ambao wanataka waume na wake,sijui gari,na nyumba namaanisha walio amua uwata ni sehemu sahihi kwao.
amejikita sana huko mbeya it's like a cult,wanamiliki baadhi ya shule Ila nasikia wanamatatizo kwenye namna ya kutumia fedha zao za taasisi,pia huko unaweza pigwa hata fimbo,ki ujumla Ni mojawapo ya watu wanatakiwa kupigwa bani
Umeandika mengi ila hiyo paragraph ya mwisho sijakuelewa. Wanatakiwa kupigwa Ban kwanini?
 
Mimi ni mlutheli og, na naongea ukweli naweza nikazini au nikachepuka na jpil nikaungama fresh imeisha,
Nikafanya chochote afu jpl kama leo nikaungama ikaisha,

Kwa uwata hilo ni big No,shortly haiwezekani.
Ndo mana watakaopinga na kuzusha ni wengi,mwingine akasema xjui hawavai chupi??😀😀😀
Úmejuaje hawavai 🤓🤓🤓,lini wamekuonesha makalio yao ukakuta hayana chupi?
Mwingine alisema wanachapwa??? Jamani,😀😀 walishawahi kukuchapa wapi?wingine akasema Taasisi zao mapato na matumizi hayapo sawa?? Ww ni CAG ulishawahi kujua hesabu zao lini?

Nyingi ni chuki,na Nasisitiza sitetei kama memba wao??
Ila vingine ni chuki.
Kuna msemo unasema "if you have no evidence,you have no right to speak"
 
Aya madhehebu mengi ya sasa hivi ni biashara tu hakuna dini hapo hivi kweli dhehebu gani linavunja ndoa na kutenganisha familia kweli kiukweli sisi wakristo tuna shida sana ila kiukweli ushenzi huo huwezi ukuta romani catholic

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Mpambanie baba yako, muombee kwa Mungu afunguliwe.
 
Uwata si dini,shortly ni kanisa lolote anasali uwata,na ni lazima uwe na kanisa.
Na shortly kitu watu wasichokijua uwata haimilikiwi na Mtu,
Na hamna mchungaji uwata ila wana viongozi.
So huwana haijaajili mtu ,yoyote ndani ya uwata anaweza kumuongoza mwingine hara kama kaingia leo maadamu anaijua misingi yao.
Mwisho nitakuwa wa mwisho kuiponda uwata,ingawa si wa huko ,
Maana nawajua haswa,ila kama unazini ,sijui mlevi,sijui mchawi na una dini yako unapoteza mda maana motoni panakuhusu😀😀
Kama sijui unalingia sijui uzee wa kanisa,sijui uchungaji sijui uwongozi sijui unatia sadaka ,😀😀 unapoteza mda MUNGU HAONGWi ,na sadaka na utumishi wako popote pale .

Pili biblia unasema "njia ya kwenda Mbinguni ni nyembamba na waipitao ni wachache, shortly ata ukiwa ndani ya uwata watakwambia wazi kuwa humu na kufata sheria akutoshi kukufanya ufike mbinguni, na sijui hamna mchungaji huku wa kuungama, na uwata hamna sara ya toba sijui nafanya dhambi nikianguka kuna sara ya toba big no!

Hata mm sheria zao ni hatari siingii kwa sababu ya sheria.
Mavazi yao wameweka ili wote wafanane ili wauwezo wa chini awe sawa na wa juu,ilu isiwepo criticism hayo ni machache Kati ya mengi,ingawa mapungufu kama wanadamu yapo
 
Mimi hapa nilikuwa UWATA japo sasa hivi nakunywa bia. Ulichozungumza mtoa mada napata ukakasi kwa sababu UWATA kama UWATA hawana mamlaka ya kufungisha ndoa bali utafungia kwenye kanisa lako mama.
UWATA wanakutanika faragha kila siku na kufundishana neno la Mungu ili kutimiza andiko lililoandikwa "kutanikeni kila siku maadamu iitwapo leo"
Vipi ikiwa wakakupa ' unabii ' kwamba mke wako ni mchawi ,hivyo wakakuambia umuache na uoe mke mwingine toka ndani ya jumuiya yao na ukafungia ndoa ktk kanisa lako.Kama ikiwa hivyo wao ndio wanakuwa wamekuachanisha na mkeo.
 
Aya madhehebu mengi ya sasa hivi ni biashara tu hakuna dini hapo hivi kweli dhehebu gani linavunja ndoa na kutenganisha familia kweli kiukweli sisi wakristo tuna shida sana ila kiukweli ushenzi huo huwezi ukuta romani catholic

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Wamevunja ndoa uwata hawafungishi ndoa!
Swala la ndoa la binafsi ya mtu
Mm nasema familia wapo na shida ,si kila ndoa inayovunjika ni Uwata wamesababusha,
Maamuzi ya mtu nani wa kuishi naye ni binafsi may be baada ya kuingiza huko ikawa hivyo,lakini maswala ya ndoa uwata hawahusiki nao,ingawa wanaowanaga wao kwa wao si sheria ,ila kudumisha utamadauni wao.
 
Back
Top Bottom