Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Duh!
 
Undava kabisa mkuu, safi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa be forward ofa za kitapeli za kulipia Bei nusu nusu hawanaga.
Wale unalipa gharama nzima ya gari hadi inafika bandarini plus clearance na usajili, mambo ya kodi utalipia TRA...........gari likifika unakamata ndinga unasepa....
 
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Duh...
 
Hahahaha! Serikali Ya Miaka Gani Boss Wangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom