FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Eleza vizuri, ni masharti gani hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeenda kwa mwaki ndio uhakikaView attachment 2094407
Hawa jamaa wana ofisi zao posta..wanadai wana agiza magari unalipia nusu kisha gari ikifika unamalizia....binafsi nimeagiza gari miezi ya tisa kila nikipiga simu naambiwa boss hayupo nikienda ofisini naambiwa boss katoka nimewaandikia barua wamenijibu kwa kunipa masharti mapya ambayo kwenye mkataba wa awali haukuwepo mwishowe wananiambia niende popote...sasa mimi ntaenda huko popote na nitawaterea mrejesho kutoka huko popote ....sambazieni watu wasije wakapigwa hela ni ngumu kwa sasa
AiseeMkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Hahaaha Pemba mbali. Kwa Wale wazee wa Kwa Msisi hapo Handeni-Tanganenda Pemba, kipapai hawachomoi hao
Kiukweli mimi gari siwezi kukubali uniagizie, mi nakuja showroom kwako unipe gari nikupeKuna kampuni kama be foward ambazo zimeshajijengea credibility kwa watu, bora kutumia hizo kuliko hizi zinazoibuka from no where......
Haya wana JF, twendeni wote tukachafue hali ya hewa huko...Mwanajf mmoja akiibiwa ni sawa na tumeibiwa wote ngoja kwanza twende kwenye page yao tukakichafue tuone wanatokea wapi
Wengine wanaitwa MAGARI RAHISI ni matapeli kama hao.View attachment 2094407
Hawa jamaa wana ofisi zao posta..wanadai wana agiza magari unalipia nusu kisha gari ikifika unamalizia....binafsi nimeagiza gari miezi ya tisa kila nikipiga simu naambiwa boss hayupo nikienda ofisini naambiwa boss katoka nimewaandikia barua wamenijibu kwa kunipa masharti mapya ambayo kwenye mkataba wa awali haukuwepo mwishowe wananiambia niende popote...sasa mimi ntaenda huko popote na nitawaterea mrejesho kutoka huko popote ....sambazieni watu wasije wakapigwa hela ni ngumu kwa sasa
Dah! hakuna gari naziogopa kama hizo za showroom, bongo ujanja ujanja mwingi.........kwa makampuni kama BF unachagua mwenyewe gari kwenye website, wanachofanya ni kukuletea hiyo gari baada ya kulipia gharama zote za gari pamoja na pesa yao ya uwakala.......unalipia kupitia benki kwa hiyo unakuwa na ushahidi wa malipo nk..Kiukweli mimi gari siwezi kukubali uniagizie, mi nakuja showroom kwako unipe gari nikupe
Pesa.
Mi ndio natumia njia hiyo, naenda na fundi, tunakagua gari na kulitest, nalipa naondoka nalo, kadi nafuta kesho kutwa yakeDah! hakuna gari naziogopa kama hizo za showroom, bongo ujanja ujanja mwingi.........kwa makampuni kama BF unachagua mwenyewe gari kwenye website, wanachofanya ni kukuletea hiyo gari baada ya kulipia gharama zote za gari pamoja na pesa yao ya uwakala.......unalipia kupitia benki kwa hiyo unakuwa na ushahidi wa malipo nk..
Mkuu, uchawi hauendi kwa "mentali".Mkuu hao tumia nguvu kuwaonesha pesa aendi bure, ukimaliza nenda upande wa waganga tia watu vizizi na wajue ni wewe ili heshima iwepo
Dawa ni kuwatumia wazee wa kazi, maana mahakama zetu zipo kumpa haki mwenye pesa zaidi, sio mwenye hakiMkuu, uchawi hauendi kwa "mentali".
Umenifurahisha sana ..hizo ndio huwa pigo sitakagi mchezo kwenye pesa...mtu akinidhurumu mimi basi ajiandae kulala machoMkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Kampuni bora kabisa ya kuagiza magari nchini ni Garnite Co. Ltd - "Better Way and Beyond Standards". Wapo Mwenge Tower ghorofa ya 4 mkabala na Mlimani City.View attachment 2094407
Hawa jamaa wana ofisi zao posta..wanadai wana agiza magari unalipia nusu kisha gari ikifika unamalizia....binafsi nimeagiza gari miezi ya tisa kila nikipiga simu naambiwa boss hayupo nikienda ofisini naambiwa boss katoka nimewaandikia barua wamenijibu kwa kunipa masharti mapya ambayo kwenye mkataba wa awali haukuwepo mwishowe wananiambia niende popote...sasa mimi ntaenda huko popote na nitawaterea mrejesho kutoka huko popote ....sambazieni watu wasije wakapigwa hela ni ngumu kwa sasa
Kesi ni kufaidisha watu, dawa ni kumfanya alale macho maisha yake yoteKampuni bora kabisa ya kuagiza magari nchini ni Garnite Co. Ltd - "Better Way and Beyond Standards". Wapo Mwenge Tower ghorofa ya 4 mkabala na Mlimani City.
Ila Mkuu Wanasheria tupo. Una kesi nzuri sana ambayo inaweza kukupatia fidia ya kukuwezesha kupata gari lingine la ziada.
Play your part, it can be done.
Samahani mkuu eleza hapa anachotakiwa kufanya, sio mumvutie huko PM mkamning'inize tena, no offense.Kampuni bora kabisa ya kuagiza magari nchini ni Garnite Co. Ltd - "Better Way and Beyond Standards". Wapo Mwenge Tower ghorofa ya 4 mkabala na Mlimani City.
Ila Mkuu Wanasheria tupo. Una kesi nzuri sana ambayo inaweza kukupatia fidia ya kukuwezesha kupata gari lingine la ziada.
Play your part, it can be done.
Hata kwenye viwanja lipa kwa awamu kampuni moja inaitwa VKP ya Yona kanipiga milioni 6 kawapiga watz 250 jumla ya bilioni 1.200 kesi ipo mahakamani hana hata kumi ya kutulipa sijui pesa alikuwa anapeleka kwa mpalange? Huyu ukimloga utakosea kweli watu wamepigwa milioni 20,30,nk.Wabongo bado hatujafikia hatua hiyo, ukiona mambo ya lipia kwa awamu, ogopa sana