Mkuu nimecheka sana hahahaMkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo?...
Duh!Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Lete ManenoDuuh.
Nawajua!!
Undava kabisa mkuu, safi sanaMkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Sasa be forward ofa za kitapeli za kulipia Bei nusu nusu hawanaga.Kuna kampuni kama be foward ambazo zimeshajijengea credibility kwa watu, bora kutumia hizo kuliko hizi zinazoibuka from no where......
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Wale unalipa gharama nzima ya gari hadi inafika bandarini plus clearance na usajili, mambo ya kodi utalipia TRA...........gari likifika unakamata ndinga unasepa....sasa be forward ofa za kitapeli za kulipia Bei nusu nusu hawanaga.
Duh...Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Hata mimi wameni block ndio mana nawajazia nzi social media zoteHawa ni matapeli kitambo
Ukikoment negative au uwaumbue kwenye account yao ya instagram wanafuta comment yako afu wana ku block
Urahisi mkuuSometimes mnayataka wenyewe. Kuna well established companies kama BF,SBT,Trust sasa kwanini uende kwenye vikampuni uchwara vya Instagram?
Hahahaha! Serikali Ya Miaka Gani Boss Wangu.Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini,hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani??na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa??una nalala yako ya malipo??kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu,baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa,nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma,tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao,kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju,nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi, nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa,alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho,wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
Kuna mkataba na nililipia Bank kama unaweza kazi njoo pm maana wanaonekana ni wahuni sasa tu deal nao kihuni tu
unaenda kuliwa hela nyingine