Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Unapohitaji kutumia Kampuni yoyote ya huduma kwanza tafuta taarifa za kutosha.

Pili tumia Kampuni zenye muda mrefu maana kama wana matatizo wasingedumu kufanya hiyo kazi, kama sio kufilisika basi wangeshafikishana kwenye vyombo vya sheria na Wateja wao.

Huwezi kupelekwa kwenye vyombo vya sheria na Wateja zaidi ya kumi na bado ukaendelea kuwapo hapo hapo.
 
Ulaya, Marekani na nchi nyingi zilizoendelea watu wanamiliki gari mpya na nyumba nzuri kwasababu ya utaratibu huu mortgage/finance kununua cash gari mpya ni wachache sana wanaweza ndio maana tunaishia magari ya 2003 hadi leo tunashikana mashati!
Hakika mkuu. Inabidi mje na kampuni ya kuwezesha hili nyie wenye Kamba ndefu.
Kuna kampuni inaitwa EFTA inakopesha mitambo, sijui kwanini haijafanya vizuuri Sana.
 
Hii ni uthibitisho tosha kuwa Watu hatuiamini mifumo rasmi ya kusheria.

Kwamba ukijichanganya na mifumo rasmi ndio unaweza hata kuipoteza kabisa haki yako, tofauti na ungetumia njia za mkato.
 
Hakika mkuu. Inabidi mje na kampuni ya kuwezesha hili nyie wenye Kamba ndefu.
Kuna kampuni inaitwa EFTA inakopesha mitambo, sijui kwanini haijafanya vizuuri Sana.
Kamba yangu fupi sana hata ingekuwa ndefu nisingeweza. Hizi ni taaluma za watu, banks na taasisi nyingine za fedha ndio zinafinance wauzaji kazi yao kuhakikisha magari au nyumba zinapatikana. Bado mifumo ya TZ haijakaa sawa watu kukopa na kuingia mitini ndio ujanja na namna ya kuwapata ni ngumu, bado tuko kwenye ujima.
 
Piga taarifa tu Polisi, wezi wa mtandao.
Watafuatiliwa tu mradi vidhibiti vipo vya malipo.
 
Yaani karne hii unauziwa gari hewa ?
Na wewe unakubali.
Dunia ya sasa sinunui bidhaa hewa.
Hata iwe kampuni ya aina gani.
Nataka gari hili nalipa na naondoka nalo baada ya kujiridhisha ktk kila mamlaka za usimamizi.
 
Hivi unaanzaje kwenda kuagiziwa gari na mtu?? Wakati website aminifu zipo kibao na ukitaka unaletewa mpaka uwani kwako kutoka japan direct. Mimi kitu changu cha kwanza kuagiza online ilikuwa ni gari, sikuwahi mwambia mtu yoyote kuwa nimeagiza gari online, nilipotumiwa bill of lading ndo nikawaambia washikaji tokea hapo sijawahi kuogopa kuagiza kitu online.
 
kuna harufu kali ya utapeli inanukia hapa
 
Lakini Kuna tech za Hali ya juu za kuwezesha kumonitor gari popote lilipo hata likivuka border. Mimi nadhani ni useriousness kwenye kuwekeza. Kwa mfano kupina na kukopesha viwanja ni jambo jepesi mno kulifanya.
 
Lakini Kuna tech za Hali ya juu za kuwezesha kumonitor gari popote lilipo hata likivuka border. Mimi nadhani ni useriousness kwenye kuwekeza. Kwa mfano kupina na kukopesha viwanja ni jambo jepesi mno kulifanya.
Kupima na kukopesha viwanja wapo wengi ni rahisi ku-monitor. Magari yanahitaji watu waaminifu, hata ukijua liko wapi unaweza kuta mtu kashaliuza kadi kabadili utajua wewe kadi kapata wapi na nyinyi mnayo!
 
Tushare kwa wingi, ili kuepusha utapeli zaidi
 
Unyama Sana mwaisa.
 
hao jamaa wana page yao original ambayo ina followers wengi na kuna hyo nyingine fake ambayo ina followers wachache.

hii moja ina no ya whatsapp na hii nyingine ina landline phone hapo nmeshkwa na ukakasi sababu na sisi imetokea scenario kama yako juzi kwenye subaru xt ilikuwa tupigwe 25m sema yote imerud jana tumeachana for good
 
Lailah Ila Issa ni vema ukajiheshimu,hilo la Utapeli limetoka wapi??ni wapi nimemuomba mtoa Mada nauli ya Ndege??na kwanza niliandika kwamba nipo Dar kikazi,ni vema ukatumia akili za kichwani badala ya za makalioni
 
Pole sana mkuu,Usijichkulie sheria mkononi wala usijidhuru,kinachokuumiza hapo ni matarajio yako na kulinda heshima yako.

Nakusihi tafuta mahali utulize akili vizuri
Kuna maisha baada ya hili,yanatakiwa yaendelee na yanategemea uwepo wako.

Haki yako ipo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…