Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini, hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani?? Na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa?? Una nakala yako ya malipo??

Kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu, baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa, nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma, tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao, kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju, nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi.

Nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa, alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho, wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu

Alooo hee!
 
Pamoja na utapeli uliopo kwenye biashara ya "kulipia kidogo kidogo" bado ni biashara yenye faida kubwa. Pakiwa na investor mzuri, bonge la biashara iwe ni viwanja au magari.
Utapeli upo kila sehemu hata kwenye viwanja vya kulipia mkupuo mmoja, vifaranga n.k
Ukiwa na akili iliyomaliza ujana real estate ni biashara ya uhakika haina hasara
 
kuna taarifa mleta uzi hajatupa hapa, na hio taarifa ni muhimu zaidi kuliko alivyokimbilia kunconclude kuwa ameibiwa, na kisha members wote mmeanza kumuonea huruma..sheria haina emotions au sympathy, na from the ground naona jamaa wanajiamini kisheria ndo maana wamemwambia aende popote..yeye mleta mada anabidi ahakikishe mkataba wake unastipulate vizuri kile anachokiita kutapeliwa..lazima mkataba wake uwe uliweza kustipulate ni kwa namna gani wataresolve dispute kipindi biashara itaposhindikana kwa pande zote mbili kushindwa kutekeleza majukumu yao..ujamaa umetuharibia sana wabongo
 
Kuna siku utaitwa jambazi wakurosti mchana kweupe.
Enzi za ubabe zimrpitwa na wakati.
Rudia hicho ulichofanya nakuhakikishia hutatoboa.
Au we ndo kubwa la matapeli? Mzee kuna issues za kutania, sio pesa hii ngumu ka jiwe la mtoni. Asee mie ukinidhurumu, I real swear, unaokota makopo mpk unafikisha miaka 90! U never die even when the maggots are spoiling your body!!!
 
Pole sana mkuu,Usijichkulie sheria mkononi wala usijidhuru,kinachokuumiza hapo ni matarajio yako na kulinda heshima yako.

Nakusihi tafuta mahali utulize akili vizuri
Kuna maisha baada ya hili,yanatakiwa yaendelee na yanategemea uwepo wako.

Haki yako ipo.
Naelewa maneno yako.
Na nimeshauriwa ivi na na watu tofauti pia. Ila inanisumbua kwasababu nilichokusudia kukifanya kwa hiyo hela kimekwama. Mbaya zaidi mdaiwa hapokei simu, hajibu msg. Wiki tatu zilizopita akatuma msg saa tisa usiku, "Hela yako ntakulipa punguza kiwewe."
Naamini alikua amelewa lakini hii msg iliniuma sana.

Una hela yangu zaid ya m5 tangu tar 4 october mwaka jana, kwenye communication unanikwepa halafu unaniambia nipunguze kiwewe...!!! Sijui nani anaelewa ninachojisikia.
 
Au we ndo kubwa la matapeli? Mzee kuna issues za kutania, sio pesa hii ngumu ka jiwe la mtoni. Asee mie ukinidhurumu, I real swear, unaokota makopo mpk unafikisha miaka 90! U never die even when the maggots are spoiling your body!!!
Usiwe mshamba Jumog..
Piga picha uingie ofisini kwa mtu na ufyatue risasi...
Kwa mawasiliano yalivyo rahisi polisi waitwe chap kuwa kuna jambazi ana silaha kavamia...pamoja na haki zako utatolewa mavi mchana kweupe.
Unaweza kutumia akili na kupata haki zako lakini sii kumwendea mtu na silaha halafu ufyatue...bila shaka unatania
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Ha ha haaa...kuna njia ya mkato ndugu...hayo mabunduki ni kweli yana_draw attention ya watu wa serikali. Hapo soln ni kumtia mtu busha na brain stroke kidogo ili awe fundisho kwa wengine...ila sasa ukiangukia kwa waganga njaa wa kibongo wale wa ile hela tuma namba hii unapigwa mara 2!!!
 
Tunaodaiwa leo tukisoma hii thread tunaenda kupunguza deni 😂😂😂
 
Oyaaa, hiyo pesa warudishe, wasilete uhuni hapa; na njia zote zikishindikana, ni cha moto tu, hakuna masikhara
 
Ndugu mteja pole kwa tatizo liliojitokeza na kwakutuvumilia tunaomba ulipie tena nusu ya pesa uliyo tanguliza kabla na tutakuzawadia gari mbili mpya offer hii ni kwaajili yako
 
Sometimes mnayataka wenyewe. Kuna well established companies kama BF, SBT, Trust sasa kwanini uende kwenye vikampuni uchwara vya Instagram?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu pole, nadhani ungetoa details kwamba uliagiza gari gani na lini, hiyo pesa ya awali uliwapa kwa njia gani?? Na mlisainishana wakati unawapa hiyo pesa?? Una nakala yako ya malipo??

Kuna wahuni kama hao mwaka jana June walimfanyia hivyo ndugu yangu, baada ya kumzungusha sana akanipa hiyo taarifa, nikamwambia nitumie tu tiketi ya Ndege nije Dar kutoka Dodoma akatuma, tuliwaibukia saa 4 asubuhi ofisini kwao, kuingia ofisini kwa Boss tu nilichomoa mkwaju, nikakoki nikapiga risasi moja chupa kubwa ya Maji ilikuwa mezani pembeni ya huyo jamaa Mkurugenzi.

Nikamwambia nakuua rudisha pesa ya huyu jamaa hapa, alihamisha pesa palepale kutoka kwenye CRDB yake Account kuja kwa jamaa ndani ya dakika 2, ofisini kulikuwa kuna AC lakini tulitoka pale jamaa shati lote limeloa jasho, wahuni na matapeli kama hao ni ku-deal nao kihuni tu
I salute you Mkuu. Nimekuheshimu Sana. KAZI nzuri mno mno.
 
mkuu umeongea point, kama watu wote tutakua na moyo huu matapeli watakua na wkt mgumu. Wote jf tuingie kwny peji zao zote tuwachane makavu live lazima wazikimbie hizo peji. Ktk hizi social media hakuna kitu kina nguvu kama reviews, tukiwaaribia kwny reviews ujue biashara imekufa hapo.
Mi nadhani kuna hajanmwenye haka kapeji akafunge kabisa, ni kumkalia shingoni tu...
 
Tunaodaiwa leo tukisoma hii thread tunaenda kupunguza deni [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mkapunguze tuu, nina hasira sana na nyinyi.
Isingekua binti yangu wa miezi tisa ningekua muda huu nimeshachoma moto nyumba mbili, na scania vipisi viwili. Ila weekend hii tarajieni chochote.
Na mimi siamini kwenye ushirikina, sijui mganga, mara busha, kwahiyo sioni ntakachofanya zaidi ya moto tuu..

This is if, wewe ni mdaiwa jeuri, kiburi, mbabe na mwenye dharau. Other than that tunaishi nao fresh tuu.
 
Naelewa maneno yako.
Na nimeshauriwa ivi na na watu tofauti pia. Ila inanisumbua kwasababu nilichokusudia kukifanya kwa hiyo hela kimekwama. Mbaya zaidi mdaiwa hapokei simu, hajibu msg. Wiki tatu zilizopita akatuma msg saa tisa usiku, "Hela yako ntakulipa punguza kiwewe."
Naamini alikua amelewa lakini hii msg iliniuma sana.

Una hela yangu zaid ya m5 tangu tar 4 october mwaka jana, kwenye communication unanikwepa halafu unaniambia nipunguze kiwewe...!!! Sijui nani anaelewa ninachojisikia.
Naelewa unachopitia sana mkuu,huwa inakuwa ni maumivu yasiyohimilika,kiasi cha kukosa utulivu wa kufanya mambo mengine.

Hiyo iliwahi nitokea hata mimi,Kuna watu niliwafanyia kazi kwakutumia Mtaji wangu wa ngama,thamani ya kazi baada ya kuisha ilikuwa Mil10+.Nilikuwa nanuka madeni,Kodi ya nyumba,kodi ya Tra,majukumu kama baba wa familia.
Nimeifuatila Pesa yangu more than 1 year,lakini sijapata.Nilitumia kila posibility kuipata hela yangu,ilishindikana.

Before nilikuwa kama wewe,nilianza process za mahakamani,lakini mtu niliyekuwa nashindana naye anapesa na dharau juu.

Ilifika extent nikasema niende sehemu niliyokuwa nadai nijitundike pale kwenye miti,niliandaa kabisa kamba za manira + ujumbe wa kuweka mfukoni(ukitaka picha nnayo)

Nilienda mpaka kwa waganga sikuambulia chochote,zaidi ya kuwaona watesi wangu wakinawili.Polisi ndo usiseme,inabidi uwe na hela ya kuwapa.

Lakini nilikuja kutana na mtu mmoja mkubwa sana kwenye masuala ya biashara.Alinipa ushauri kama niliokupa

Thanks God,leo hii wananilipa kidogo kidogo baada ya masuluhishi mengi sana,Mpaka leo cijakata tamaa,napush mambo yangu Kwa amani sana.

Kuna nilichokundua pia,jamii inaweza kuwa inakupa back up ya maamuzi mabaya,lakini yakisha kukuta huto mwona mtu,you will be alone my friend.Iwe kaburini au Jera.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom