Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
πππ enjoy na kitimoto chako mkuuAsante mkuu..mi niko zangu St peters hapa narud home..kuna ubarid flan dar unahamasisha kula nyama za kuchoma zamotoo au mdudu na salad flan na ka lazy beer flan...ngoja nipite njia ya chin huku shopers maeneo ya kat hapo siwez kosa kona ya kitimoto.
Aise napenda kupika sijui nisemeje! Kula na kupika....π₯°Alafu nashangaa kwenye ule uzi sikuoni nawakati wewe ni FOODIE mzuri tu.
Eti kuna FOODIE mmoja alisema tafuta hela ukifika kama 300M weka Fixed kinachobakia wewe kula kula kula vitamu mpaka unazeeka na kufa.Aise napenda kupika sijui nisemeje! Kula na kupika....π₯°
Haipo hiyo...ww tafuta hela kwa hali na mali..Eti kuna FOODIE mmoja alisema tafuta hela ukifika kama 300M weka Fixed kinachobakia wewe kula kula kula vitamu mpaka unazeeka na kufa.
Mim nikirud huko..labda nije na mifumo ya biashara zingne..labda services..migahawa..labda niuze vilipuzi,,niwakodishe pump za maji zile.ma generator etc etc..najua hela yake ni ndogo ndogo ila ni sustainable na haina hofu.na pia naweza achia watu wafanye mi nkaendelea na mishe zingne...Misoto ya laizer na huku kwetu kuna utofauti...mm naweza nunua mifuko ya mawe najua kbs hapa napata kias gan ..!
Mm nimelalia hilo godoro almost 2yrs had nikapona mgongo!..
Hakuna mishe isio na risk....nataman kukaa huku forever sema kunachosha
Karibu Kinywaji mkuu
Alafu massage nilitaka kuandika sasahivi nikakausha aisee kweli wewe unajua nini Burudani nawashangaa wanaenda Club kujirusha Buruani za kweli zipo Cool.Haipo hiyo...ww tafuta hela kwa hali na mali..
Then jitreat uwezavyo haapa naingia sauna..niko level nipate massage
Hahahaa.Alafu massage nilitaka kuandika sasahivi nikakausha aisee kweli wewe unajua nini Burudani nawashangaa wanaenda Club kujirusha Buruani za kweli zipo Cool.
You ll not make Handsome PapersMim nikirud huko..labda nije na mifumo ya biashara zingne..labda services..migahawa..labda niuze vilipuzi,,niwakodishe pump za maji zile.ma generator etc etc..najua hela yake ni ndogo ndogo ila ni sustainable na haina hofu.na pia naweza achia watu wafanye mi nkaendelea na mishe zingne...
Vilipuzi hela yake nzuri sana mkuu....Mim nikirud huko..labda nije na mifumo ya biashara zingne..labda services..migahawa..labda niuze vilipuzi,,niwakodishe pump za maji zile.ma generator etc etc..najua hela yake ni ndogo ndogo ila ni sustainable na haina hofu.na pia naweza achia watu wafanye mi nkaendelea na mishe zingne...
Kumbe unadhani niko hapa ili kumvuta mtu aje kwa mgongo wangu?.? Unakosea...tena umenikosea mno! Humu kuna zaidi ya watu 10 walitaka niwashike mkono nikawapotezea.na wenyewe wanajua ...ajitokeze mtu hapa aseme kama tulishakubaliana aje machimboni kupitia mimi...daily nasema nenda kwanza migodini ukasome mchezo unavyoenda...! Narudia sijawah na sitawah kumpokea mtu kwa mgongo wangu..never...! Mwenzako nilisoma mchezo 3mths nikajitupa kukimbiza mwalo nk nk!na nilianguka pia...hakuna biashara isiyo na changamoto... Siko hapa kumvuta mtu mzee !
Mimi sio muumini wa kuanza na mamilion..nisome kote....!aise umenishangaza balaa! Atokee mtu humu aseme mm wangari nilishakutana naye kwa ishu za dhahabu, kila mtu ajifie kivyake mkuu..akitaka ushauri anytime ntampa!
Mwenzako naandika haya huku nakunywa tu uji hapa mkuu relax!
Thats me!ni mmoja tu nilionana naye...ni best friend had kesho!Kumbe hii formula tunautumia wengi, tunaandika then mtu afuatilie mwenyewe mambo ya kuitana au kuonana hakuna umeonyeshwa njia wewe endelea na safari mwenyewe mambo oohh tupange tuonane never never
Aah. Hzo ni sustainable ndugu yangu..hzo zingne hazitak ukosee hata a minute...inakula kwako...na zinahitaj uzijue kwerikweri in magus voice....si umeona breakdown aliyoifanya wangar pale juu..mambo meng inabid uwe makin nayo hasaaa...You ll not make Handsome Papers
Mkuu, ila jamaa anachokiongea kina uhalisia fulani, mwaka 2019 nilienda Kakola yale machimbo ya namba 6 karibu na Bulyankhulu Gold Mine...nikakodi mwalo nikawa nanunua mawe kwa "manyani" na maduarani, napiga chabo na tathmin napeleka makarashani (namba 9) nakamua dhahabu, mara nachomwa(hasara) mara napata.(hapa lengo langu nikuze lundo niende plant)..kuna mama mmoja nilikuwa nampelekea dhahabu Geita , yule maza akatokea kuniamini kutokana kwamba nilikuwa namuuzia dhahabu yenye purity nzuri(93%-98%) tofauti na dhahabu ya (Nyankanga, Katoma hill na maeneo mengineyo ya Geita), yule maza akanipa million 4 nimkusanyie dhahabu, mimi hapo nilikuwa na mill zangu kadhaa so nikawa na nguvu za kutosha, kufika kakola kumbe mzungu kawapiga ban wachimbaji wadogo, watu wakafurushwa...ikabidi niende Segese-Ntambarale, kufika kule nikafanya kama Kakola, nanunua mawe nachenjua dhahabu, biashara ikawa ngumu kutokana kwamba kule chabo zake zilikuwa za kusua, nikabadilisha style(kumbuka yule mama alikuwa ananidai gram zake), nikawa nanunua "mbulaja", sasa dhahabu ikawa ya kusubir sana na cost of living ziko palepale, siku baada ya siku mtaji ukawa unapungua, nilikuwa na kalundo nikakauza bado ngoma ikawa ngumu, siku ya siku nimenunua mawe ili "niokoe" NILICHUMILA(hasara inayoweza kula robo tatu ya mtaji au mtaji wote)Hakuna kitu rahisi mkuu!...shida yenu mnaendaga kichwa kichwa...hapo tu..migodini kama una kaelimu kadogo tu hela inakufuata! Endelea kuzitumbua .ukipata leo 500k unataka umalize zote .webzako wanawekeza ww umebaki kuimba nyimbo kuwa kugumu[emoji2955]
ππππ nacheka kwanza!Mkuu, ila jamaa anachokiongea kina uhalisia fulani, mwaka 2019 nilienda Kakola yale machimbo ya namba 6 karibu na Bulyankhulu Gold Mine...nikakodi mwalo nikawa nanunua mawe kwa "manyani" na maduarani, napiga chabo na tathmin napeleka makarashani (namba 9) nakamua dhahabu, mara nachomwa(hasara) mara napata.(hapa lengo langu nikuze lundo niende plant)..kuna mama mmoja nilikuwa nampelekea dhahabu Geita , yule maza akatokea kuniamini kutokana kwamba nilikuwa namuuzia dhahabu yenye purity nzuri(93%-98%) tofauti na dhahabu ya (Nyankanga, Katoma hill na maeneo mengineyo ya Geita), yule maza akanipa million 4 nimkusanyie dhahabu, mimi hapo nilikuwa na mill zangu kadhaa so nikawa na nguvu za kutosha, kufika kakola kumbe mzungu kawapiga ban wachimbaji wadogo, watu wakafurushwa...ikabidi niende Segese-Ntambarale, kufika kule nikafanya kama Kakola, nanunua mawe nachenjua dhahabu, biashara ikawa ngumu kutokana kwamba kule chabo zake zilikuwa za kusua, nikabadilisha style(kumbuka yule mama alikuwa ananidai gram zake), nikawa nanunua "mbulaja", sasa dhahabu ikawa ya kusubir sana na cost of living ziko palepale, siku baada ya siku mtaji ukawa unapungua, nilikuwa na kalundo nikakauza bado ngoma ikawa ngumu, siku ya siku nimenunua mawe ili "niokoe" NILICHUMILA(hasara inayoweza kula robo tatu ya mtaji au mtaji wote)
Nikajifunza kitu toka siku ile
Yule anaenunua processed gold risk yake ni ndogo ukilinganisha na yule anayenunua mawe maduarani,
Biashara ya dhahabu kufirisika na kutajirika overnight ni kitu cha kawaida, na sio biashara ya kuiendea kichwa kichwa,
Alafu kuna mwamba alishawahi kuniambia "Kazi na Dawa" hii kauli siyo ya kuibeza kwenye biashara yoyote . ..
Kwa sasa nipo Geita "napiganisha"
Unaumwa wewe....! Narudia unaumwakodi shamba nusu heka,andaa vizuri panda matikiti miche 200,
kila mche wastani utazaa matikiti matano na kila tikiti utauza kwa sh 2000.
200x5x2000= utafurahi
ingia field utalia vilio vyote
kodi shamba nusu heka,andaa vizuri panda matikiti miche 200,
kila mche wastani utazaa matikiti matano na kila tikiti utauza kwa sh 2000.
200x5x2000= utafurahi
ingia field utalia vilio vyote