t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Hiyo 50m mimi naingia geita au chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda june hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ..kila siku nanunua dhahabu...end of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!
Kweli akili ni nywele!
Watu wamekariri nyumba ,
50 mil huwezi kuiweka kwenye project ambayo itakufanya usubiri returns kwa miaka 20 plus ,