Kenya wanabaridi huko Daslam na Kibaha ni joto kwa kwenda mbele.Ni kweli Ila kuna nyumba fulani naona zinajengwa sana Kenya kuna namna bati zinawekwa kwa nyumba za biashara inasaidia sana kwenye kupunguza gharama ingawa nahisi na zenyewe itakua zinasumbua hapo kwenye jotoπ π
Kibaha muda sio mrefu viwanja vitakua havishikikiBado utapata mkuu wala usihofu.Ila in a long run for future competition pitiapitia page za madalili wa mbezi, kimara,goba huko instagram uone aina mpya ya ujenzi wa hivi vi min- aptmentπ€π€π€
Usisahau kibaha ndipo mji unapohamia kwa sasa hivyo DEMAND YA USASA WA KUSHINDANA NA MAENEO KAMA GOBA,MBEZI,MADALE INAHITAJIKA KUVUTIA WATEJA ZAIDIπ
Mbona havishikiki mpaka sasa,nenda hapo kwa mfipa au pangani uone kama kuna viwanja vya milioni 3πππKibaha muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki
Kwa structure ya nyumba aliyojenga, UTT bado ungekuwa uwekezaji mzuri kwake. Kwa maoni yangu. Service ya nyumba baada ya kuondoka kwa wapangaji huwa ni kubwa sana, wapangaji wengi wa units ni wapangaji shikizi ambao wanajiandaa kujenga nyumba zao. Wabongo si wastaarabu inapokuwa kwenye kuondoka, labda pawepo na mkataba mkali unaemlazimisha afanye service ya nyumba wakati wa kuhama.uwekezaji 76m
Mapato 1,200.000*12=14,400,000 kwa mwaka.
ROI 19% kwa mwaka. Huu ni uwekezaji mzuri.
Sure... Hivi hakuna mtindo mwingine mzuri wa kuweka bati tofauti na huo kwani?Kenya wanabaridi huko Daslam na Kibaha ni joto kwa kwenda mbele.
Kibaha hadi sasa viwanja maeneo yanayoeleweka unatakiwa ujipangeKibaha muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki
aisee ni hatari yaani Jana nilizunguka kibaha sehemu nyingi naona Kila sehemu ujenzi tu ndio nikasema aisee huu mji unaenda kujaaMbona havishikiki mpaka sasa,nenda hapo kwa mfipa au pangani uone kama kuna viwanja vya milioni 3πππ
Aisee inamaana havishikikiKibaha hadi sasa viwanja maeneo yanayoeleweka unatakiwa ujipange
ππππMkuu Kibaha imeshajaa sogea huko kwa Matiasi labda utapata.aisee ni hatari yaani Jana nilizunguka kibaha sehemu nyingi naona Kila sehemu ujenzi tu ndio nikasema aisee huu mji unaenda kujaa
Yaani sio kwamathiasi tu iwe kongowe misugusugu miembe Saba kote kunajengeka kama mchwa anavyokula mbaoππππMkuu Kibaha umeshajaa sogea huko kwa Matiasi labda utapata.
Yeah, unatakiwa ujipange mkuu... Miradi mingi ya viwanja kule inazidi kwenda maporini tuπ π π πAisee inamaana havishikiki
Makufuli angekuwepo atuwekee mwendokasi mpaka chalinzeπππ.Tukajiopolee maeneo huko tuwafukuzie mbali wazaramo na wakwereπ€Yaani sio kwamathiasi tu iwe kongowe misugusugu miembe Saba kote kunajengeka kama mchwa anavyokula mbao
Inamaana maeneo ya rodi hayashikikiYeah, unatakiwa ujipange mkuu... Miradi mingi ya viwanja kule inazidi kwenda maporini tuπ π π π
Aisee ni kweliMakufuli angekuwepo atuwekee mwendokasi mpaka chalinzeπππ.Tukajiopolee maeneo huko tuwafukuzie mbali wazaramo na wakwereπ€
Kibaha inakuja kuwa kaeneo ka kimkakati nyie subirini.Yeah, unatakiwa ujipange mkuu... Miradi mingi ya viwanja kule inazidi kwenda maporini tuπ π π π
Kaaa mbali utapewa bei za ajabu ajabu kwa kiwanja cha 20Γ20πππInamaana maeneo ya rodi hayashikiki
Aisee ni kweli kabisa watu tulikua tunapazarau ila Sasa pamekua townKibaha inakuja kuwa kaeneo ka kimkakati nyie subirini.
Kama unahela nenda upande ule wa kwa mfipa nandindani huko karibu n kambi ya jeshi kuna maeneo yanauzwa 20Γ20 6M.
Hahahaha π€£π€£π€£π€£π€£Kaaa mbali utapewa bei za ajabu ajabu kwa kiwanja cha 20Γ20πππ
Acha kabisa kipindi NSSF wanauza viwanja hapo kiluvya tena vimenyooka balaa, nilikuwa nakula maisha tuπππ saivi kiluvya haishikiki.Aisee ni kweli kabisa watu tulikua tunapazarau ila Sasa pamekua town
Sana yani... Unajua kibaha zamani watu walikua wanapaona mbali ila zile barabara zilipoongezwa ni kama ile distance imepungua coz watu wanateleza tu kwa maana zile foleni za ajabu ajabu hazipo, plus mwendokasi ndio kabisa shida ya usafiri imepunguzwa na kufanywa kuwa rahisi hata kwa mtu kutoka katikati ya mji kikazi kurudi zake home kulala.Inamaana maeneo ya rodi hayashikiki