Uwekezaji wa vyumba vya kupanga, mrejesho wa uwekezaji

Hapo kwenye hoteli kunalipa sana ukiiuweka mahali sahihi.
Ni kweli, hotel inahitaji tu location sahihi, ukipatia hapo unapiga sana hela.
Pia, hotel inahitaji capital ya kutosha pamoja na operation costs (wafanyakazi, usafi, misosi).
 
Kuna maeneo nyumba bei rahisi yaani Kodi 250k kwa mwezi 🤣 halafu kuna watu bado wanalalamika maisha magumu...
Huku kwetu ungepanisha kwa 200k hadi 250k na hakuna angelalamika hata kidogo
Dodoma moja hiyo mkuu?😂😂
Chumba sebule 250k, si mchezo.
 
Kwa
huku nilipo,kwa unit moja ungepangisha kwa 250,000..
Ngoja mwaka huu nipambane nianze
 
Bro nisaidie hii ramani na mie nikajenge units zangu 2 nianze kula kodi
 
Hongera sana Mkuu
 
Next time ukijenga usiweke unit zote kwenye jengo moja kama. Ulivofanya, just spread the risk
Bora uwe na majengo mawili yenye units ne nne
Kibaha yote kwa sasa ina viwanda vingi sana vya wachina na nyumba za kupanga zina uhitaji mkubwa sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…