TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
- #61
Hapana mkuu. Ni uwekezaji wa muda mrefu (long-term investiment). Inalipa sana in the long run. Sema usiwe na haraka navyo.Kujanga nyumba na kukodisha sio uwekezaji ni biashara kichaa au kuhifadhi pesa yako ns kuichukua kidogo kidogo
Cha muhimu kuwa na multiple sources of income mkuu.... Yaani usiwe unategemea kodi za nyumba ndo zikulishe, ndo usomeshe, hapana. Ila unakua na sources kama 4 hivi, mojawapo ikiwa ndo hiyo kodi. Kwa hiyo huu ni uwekezaji mzuri tu wa long term na usio na risk.