TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
-
- #121
Angalia vizuri mkuu hizo picha, utagundua kuwa hapo kuna majengo mawili, kila jengo lina units 4, na ndo nilichoeleza kwenye uzi wangu. Itakua picha labda zimekuchanganya, sio kwamba zote 8 ziko kwenye jengo moja! t bljNext time ukijenga usiweke unit zote kwenye jengo moja kama. Ulivofanya, just spread the risk
Bora uwe na majengo mawili yenye units ne nne
Kibaha yote kwa sasa ina viwanda vingi sana vya wachina na nyumba za kupanga zina uhitaji mkubwa sana,
Upo Dodoma town au Dar mkuu?Kwa
huku nilipo,kwa unit moja ungepangisha kwa 250,000..
Ngoja mwaka huu nipambane nianze
Shukrani sana mkuu!Hongera sana Mkuu
Sawa mkuu, sio lazima uamini!Aah wap sio zako, hakuna picha ndani kulivyo siamini ni zako
Ok sijaangalia vzr, nilikuwa nakushauri maana nina investment kama hiyo hapo kongowe na niliwahi kufanya kosa hilo hapo mwanzoAngalia vizuri mkuu hizo picha, utagundua kuwa hapo kuna majengo mawili, kila jengo lina units 4, na ndo nilichoeleza kwenye uzi wangu. Itakua picha labda zimekuchanganya, sio kwamba zote 8 ziko kwenye jengo moja! t blj
Ok, hongera sana mkuu, tutakua ni majirani sana maeneo ya hapo. Hata hizi ziko maeneo ya huko huko. Hizi nimezitenganisha. Hata ukuta nitakavyojenga nitazitenganisha na kuweka ukuta katikati yake, na kutakua na mageti mawili, kila jengo na geti lake! Maeneo ya Kibaha uhitaji wa makazi ya low to middle costs ni mkubwa sana kwa sababu kuna viwanda vingi sana, na hakuna makazi yenye ubora kwa ajili ya wale wafanyakazi, wengi huwa wanahangaika kutafuta makazi mazuri. Hapo ndo nilipoona gap. Hizi nyumba zilijaa booking ya kupangishwa kabla hata hazijaisha!Ok sijaangalia vzr, nilikuwa nakushauri maana nina investment kama hiyo hapo kongowe na niliwahi kufanya kosa hilo hapo mwanzo
Japo nimejikita san kwenye self contained rooms only at half the price of your rent, ana half the costs of your investment
Shukrani sana!Inavutia, hongera sana
Spot on, kibaha kwa sasa ni hot cake kwa nyumba za kupangisha,Ok, hongera sana mkuu, tutakua ni majirani sana maeneo ya hapo. Hata hizi ziko maeneo ya huko huko. Hizi nimezitenganisha. Hata ukuta nitakavyojenga nitazitenganisha na kuweka ukuta katikati yake, na kutakua na mageti mawili, kila jengo na geti lake! Maeneo ya Kibaha uhitaji wa makazi ya low to middle costs ni mkubwa sana kwa sababu kuna viwanda vingi sana, na hakuna makazi yenye ubora kwa ajili ya wale wafanyakazi, wengi huwa wanahangaika kutafuta makazi mazuri. Hapo ndo nilipoona gap. Hizi nyumba zilijaa booking ya kupangishwa kabla hata hazijaisha!
Nimeanza safari na mimi ya kutafuta hayo mamilioni nifanye uwekezaji 😜 vitu gani nizingatieShukrani sana!
Tafuta mwanaume mwenyw hela uoleweNimeanza safari na mimi ya kutafuta hayo mamilioni nifanye uwekezaji 😜 vitu gani nizingatie
Kumbeee aisee Aaliyyah naomba hicho kiwanja changu nije ge magheto ya kataa ndoaSpot on, kibaha kwa sasa ni hot cake kwa nyumba za kupangisha,
Nilienda huko nikajenga nyumba kwa ajili ya makazi baadaye uwanja ukabaki na kwa kuwa nilikuwa sijapanga kuhamia nikaamua nijenge vyumba vya kuoangisha, asee vilipata order kabla hata sijamaliza, ndo nikanogewa, sijahamia bado ila naamini nikijipanga vzr uzee wangu unaeza usiwe na mushkel mana sekta binafsi tunazurura bila pensio
Nataka kuwa na pesa zangu kwanzaTafuta mwanaume mwenyw hela uolewe
Alafubule za mwanaume.Nataka kuwa na pesa zangu kwanza