Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
983
Reaction score
2,306
1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.

Ila

2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.

Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?

Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?

Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?

Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua
 
IMG_0832.jpeg
 
Dini zinafanya tutawaliwe kifikra.
 
Kuna mada moja inasema kwa nini dini inataka umfahamu mungu na matendo wakati pia kuna shetani ukiwa na matendo yake.
 
1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.

Ila

2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.

Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?

Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?

Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?

Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua
Hivi kati ya waislam na wakristo wapi wenye chuki na wenzao? wanaowaita wenzao majina mabaya kama kafiri ni nani?, hivi ukristo umeruhusu kuua kama uislamu ulivyo eti kwa ajili ya alah?
 
mtu kumtoa kwenye kitabu ni kazi kweli kweli
tangu akiwa mtoto mdogo kamezeshwa bibilia na Quran tena kwa viboko
unafikiri huyo mtu atakuwajje,yaani mpaka anakuwa mtu mzima hataki kuwaza nje ya kitabu
Yeye na bibilia
Yeye na Quran
wanashindwa kuelewa wapo na Wahindu Budha Pagan nao no watu
Yaani ni uchizi kweli kweli
 
Hata ingekua wewe ungevumilia usicheke huku unaona watu wamenunua mifuko miwili ya cement alafu wametengeneza sanamu kwa mikono yao na wanaliomba toba na baraka ungevumilia kweli?
downloadfile.png
 
Dini zinafanya tutawaliwe kifikra.no
Dini unaisingizia tu

Elimu ndiyo inawafanya mtawaliwe kifikra.Elimu inawafanya muwe maroboti ya watu wachache wenye akili ya kugundua vitu.Mfano madaktari ni maroboti ya watu wachache waliobarikiwa uwezo wa kuweza kugundua dawa. Roboti la kisomi kila linapoongea kitu ni lazima liwe na "reference" lilipoyatoa hayo maneno maana roboti la kisomi huwa haliko huru kuongea maneno yake,limefungwa kifikra.

Pale alipo roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru.
 
Hivi kati ya waislam na wakristo wapi wenye chuki na wenzao? wanaowaita wenzao majina mabaya kama kafiri ni nani?, hivi ukristo umeruhusu kuua kama uislamu ulivyo eti kwa ajili ya alah?
Dini zote zinaruhusu baadhi ya watu kuuwawa,
Uislam unasema atayeuwa kwa makusudi naye auwawe,
Ukristo unasema mchawi auwawe,
Iyo ni mifano tu kwa uchache.
Kikubwa ni kuheshimiana na kuvumiliana sisi sote ni ndugu kiasili na Mungu ni mmoja!
 
1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.

Ila

2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.

Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?

Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?

Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?

Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua
Kwa Nini na wewe utuchukie sisi unatuita wendawazimu badala ya kumchukia mama na baba yako waliozaa mtoto anayewaaibisha kwakutozingatia malezi yao?
 
Inaweza ikawa jambo zuri sana kila mtu akafata anachokiamini....maana hata ukiachana na dini Bado Kuna vitu vingi vinatutawala kifikra na kurudisha nyum maendeleo ya mwanadamu
 
Dini unaisingizia tu

Elimu ndiyo inawafanya mtawaliwe kifikra.Elimu inawafanya muwe maroboti ya watu wachache wenye akili ya kugundua vitu.Mfano madaktari ni maroboti ya watu wachache waliobarikiwa uwezo wa kuweza kugundua dawa. Roboti la kisomi kila linapoongea kitu ni lazima liwe na "reference" lilipoyatoa hayo maneno maana roboti la kisomi huwa haliko huru kuongea maneno yake,limefungwa kifikra.

Pale alipo roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru.
Siisingizii dini huo ndo ukweli. Mababu zetu waliokuwa wanaabadu mababu waliokufa tulikuwa tunawaita wachawi lakini makanisani watu wanaabudu watu waliokufa kwa kisingizio eti ni watakatifu hasa Roman Catholic.
 
Mungu Hana Dini. (Achaneni na uongo wa Mudi)

Dini ni identify ya watu wanaomuabudu mungu au miungu kwa taratibu au kanuni Fulani.

Kwani Ibrahim, Isack na Yakobo walikuwa Dini gani?
 
1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.

Ila

2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.

Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?

Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?

Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?

Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua

View: https://x.com/Exmuslim24/status/1897905960179380400
 
Back
Top Bottom