Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

Kila dini ina Mungu wenye tabia tofauti ila shetani wa dini zote ni mmoja mwenye tabia zinazofanana kwa dini zote. Wake yo ass up homie , gademit.
 
Inaweza ikawa jambo zuri sana kila mtu akafata anachokiamini....maana hata ukiachana na dini Bado Kuna vitu vingi vinatutawala kifikra na kurudisha nyum maendeleo ya mwanadamu
Mtu mwenye akili timamu kabisa na mwenye uwezo wa kuchunguza mambo na kufikiri vizuri, hawezi kufuata ukristo au uislamu.

Labda aende kule kama kichaka cha kufichia maovu yake, kujipatia pesa kwa waumini au kwa mambo yake binafsi.
 
Mbona tunasoma shule Moja kuombana chumvi na kuishi vizuri ?

Sijaona mafundisho ya dini ya usahihi yakisema asiyekuwa wa Dini yako umfanyie uovu na dhuluma hapo inakuwa sio uadilifu .

Chuki mtu atachukiwa tu kwa Kadri ya uovu wake , mbona watu wanachukiana kisa Simba na Yanga , itikadi ya vyama vya siasa ,ushindani wa kibishara nk mbona hauoni ajabu ?

Mtu muovu lazima achukiwe tu kwa Kadri ya uovu na Shari yake Wala hakuna namna ya kulazimisha nimpende ila kumchukia mtu haimanishi kwamba nimyime haki zake za msingi , kumtesa , kumdhulumu nk.

Na kuna umuhimu wa kuchukia uovu maana usipochukia kinyume chake unapenda jambo ambalo linapelekea mtu kuingia makosani.
images (38).jpeg
 
Mtu mwenye akili timamu kabisa na mwenye uwezo wa kuchunguza mambo na kufikiri vizuri, hawezi kufuata ukristo au uislamu.

Labda aende kule kama kichaka cha kufichia maovu yake, kujipatia pesa kwa waumini au kwa mambo yake binafsi.
Huko sahihi sana....ila waache waamini hicho wanachokiamini na wewe amini unachokiamini kiongozi
 
Labda utuambie wewe hauna maadui au unafiki?

Unapiga kelele hapa unakuta hata ndugu zako hampatani.
 
Mtu mwenye akili timamu kabisa na mwenye uwezo wa kuchunguza mambo na kufikiri vizuri, hawezi kufuata ukristo au uislamu.

Labda aende kule kama kichaka cha kufichia maovu yake, kujipatia pesa kwa waumini au kwa mambo yake binafsi.
Mtu mwenye akili timamu kabisa pia hawezi acha kusali, labda aache ili iwe njia ya kuhalalisha maovu yake.
 
Hata ingekua wewe ungevumilia usicheke huku unaona watu wamenunua mifuko miwili ya cement alafu wametengeneza sanamu kwa mikono yao na wanaliomba toba na baraka ungevumilia kweli?View attachment 3262384
Hata Ungekuwa wewe kwanini usicheke,watu na akili zao wanaenda Maka kuabudu na KUBUSU jiwe JEUSI Kimondo,hata mbeya hapo kipo
FB_IMG_1741290956411.jpg
FB_IMG_1741290952012.jpg

FB_IMG_1741326038272.jpg
 
Hivi kati ya waislam na wakristo wapi wenye chuki na wenzao? wanaowaita wenzao majina mabaya kama kafiri ni nani?, hivi ukristo umeruhusu kuua kama uislamu ulivyo eti kwa ajili ya alah?

Wanapoleta hizi hoja hutaka tuonekane wote sawa ila ukweli wanaujua, leo hii kwenye utandawazi huu na elimu na ugunduzi wote huu bado Kuna dini inawakata watu vichwa na kuchinja chinja kisa hawaamini katika uzombi wao.
 
Uislamu ni ugaidi
FB_IMG_1741288663600.jpg
 
1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.

Ila

2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.

Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?

Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?

Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?

Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua
wewe unavuta skanka!!!
 
Dini zote zinaruhusu baadhi ya watu kuuwawa,
Uislam unasema atayeuwa kwa makusudi naye auwawe,
Ukristo unasema mchawi auwawe,
Iyo ni mifano tu kwa uchache.
Kikubwa ni kuheshimiana na kuvumiliana sisi sote ni ndugu kiasili na Mungu ni mmoja!
Haya ni wapi umeona mchawi ameuwawa kwenye ukristo?, Mwaka 2013 kwenye mauwaji yaliyofanywa na Alshabab Westgate kenya, waliuawa ni wale walioshindwa kutaja jina la mama yake Mohamed, maana yake wakristo waliuawa hiyo chuki utaiona wapi kwenye ukristo? kwenye ukristo hakuna kuuawana ukiamua kuanzisha kanisa lako anzisha una uhuru huo, tofauti na uislamu
 
Hapa tunafahamishana tu mkuu,usiwe na hisia kali sana katika mijadala kama hii lakini fikiria kidogo.
Biblia imeruhusu baadhi ya watu wauwawe iyo iko hivyo,"

Luka 22:36 Akawaambia, “Lakini sasa, aliye na mfuko au mkoba auchukue. Asiye na upanga, auze koti lake anunue upanga.
Pia lipo andiko yesu anamzuia mwanafunzi wake asiuwe kwa upanga maana akifanya hivyo na yeye anauwawa kwa upanga.

Pia yesu mwenyewe aliruhusu mtu auwawe mbele yake isipokuwa kwa sharti la mtu aliye safi tu ndio atekeleze hiyo hukumu,haikutekelezeka kwa sababu kila mtu alijihukumu nafsi yake,
hiyo inamaanisha kama wangelikuwepo waliosafi ingelikuwa halali kwao kutekeleza hukumu hiyo.
yohana 8:7 Viongozi wa Kiyahudi waliendelea kumuuliza swali lao hilo. Naye akainuka na kusema, “Yeyote hapa ambaye hajawahi kutenda dhambi awe wa kwanza kumponda jiwe mwanamke huyu.”
Kwahiyo unakuja kuona kwamba kuuwa kwa mujibu wa maandiko kupo,hivyo unakuja kuona kwamba wanaouwa wenzao huwa na sababu zao nyingine nyuma ya pazia ila dini huwa ni kichaka tu cha kuhalalishia uovu wao!
Dini zote zinalinda uhai wa mtu!
 
Mungu Hana Dini. (Achaneni na uongo wa Mudi)

Dini ni identify ya watu wanaomuabudu mungu au miungu kwa taratibu au kanuni Fulani.

Kwani Ibrahim, Isack na Yakobo walikuwa Dini gani?
Ibrahim na mitume wengine walikuwa waislam.
 
Back
Top Bottom