JimmyKB
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 413
- 564
Ukristo haujatoa ruhusa ya mtu kuuwawa jamaa, wapi hiyo ipo kwenye kitabu?Dini zote zinaruhusu baadhi ya watu kuuwawa,
Uislam unasema atayeuwa kwa makusudi naye auwawe,
Ukristo unasema mchawi auwawe,
Iyo ni mifano tu kwa uchache.
Kikubwa ni kuheshimiana na kuvumiliana sisi sote ni ndugu kiasili na Mungu ni mmoja!