Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.

Ila

2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.

Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?

Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?

Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?

Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua
Acha kumsingizia Mungu Kuna dini zimeanzishwa na watu na Wala sio Mungu

Kuna dini Moja ilianzishwa na watu pale Antokia alafu wewe unasema Mungu

Yani kama mtu unafuata dini isiyo sahihi inamaana unafuata dini alianzishwa na watu kwahiyo wewe hao watu wamekuzidi akili ndio maana unawafuata

Yani dogo alikuwa anacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
Alafu mama yake anamuita na kumtuma dukani akanunue unga wa ngano na mafuta ya taa
Leo hii waliokuzidi akili wanakuambia huyu ndio Mungu wako na wewe unakubali alafu unakuja kumlaumu Mungu?

Mungu amesha kuumba amekupa na akili Ili uweze kutafakari mambo Kwa kina
 
mtu kumtoa kwenye kitabu ni kazi kweli kweli
tangu akiwa mtoto mdogo kamezeshwa bibilia na Quran tena kwa viboko
unafikiri huyo mtu atakuwajje,yaani mpaka anakuwa mtu mzima hataki kuwaza nje ya kitabu
Yeye na bibilia
Yeye na Quran
wanashindwa kuelewa wapo na Wahindu Budha Pagan nao no watu
Yaani ni uchizi kweli kweli
Hizi dini 2 kama Simba na yanga. Cha ajabu kuna maefu ya dini lakini hawahangaiki na dini nyingine.
 
Back
Top Bottom