Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Dini zinafanya tutawaliwe kifikra.1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.
Ila
2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.
Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?
Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?
Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?
Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua
Kabisa yaniDini zinafanya tutawaliwe kifikra.
Hivi kati ya waislam na wakristo wapi wenye chuki na wenzao? wanaowaita wenzao majina mabaya kama kafiri ni nani?, hivi ukristo umeruhusu kuua kama uislamu ulivyo eti kwa ajili ya alah?1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.
Ila
2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.
Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?
Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?
Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?
Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua
Duh rudia swaliKuna mada moja inasema kwa nini dini inataka umfahamu mungu na matendo wakati pia kuna shetani ukiwa na matendo yake.
Babu zetu waliokufa tunawaita mizimu halafu wazungu waliokufa wanaitwa watakatifu.Hata ingekua wewe ungevumilia usicheke huku unaona watu wamenunua mifuko miwili ya cement alafu wametengeneza sanamu kwa mikono yao na wanaliomba toba na baraka ungevumilia kweli?View attachment 3262384
Dini unaisingizia tuDini zinafanya tutawaliwe kifikra.no
Dini zote zinaruhusu baadhi ya watu kuuwawa,Hivi kati ya waislam na wakristo wapi wenye chuki na wenzao? wanaowaita wenzao majina mabaya kama kafiri ni nani?, hivi ukristo umeruhusu kuua kama uislamu ulivyo eti kwa ajili ya alah?
Kwa Nini na wewe utuchukie sisi unatuita wendawazimu badala ya kumchukia mama na baba yako waliozaa mtoto anayewaaibisha kwakutozingatia malezi yao?1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.
Ila
2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe.
Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe?
Wewe muislamu kwanini uwachukie binadamu wenzako kwa sababu eti sio waislamu?
Kwanini usimchukie Mungu ambae yeye ndio ameruhusu kuwe na dini mbalimbali duniani?
Waiter hebu lete wine tunywe tufurahi wachana na hawa watu wa dini ni wazimu ndio unawasumbua
HahahahahaaaHata ingekua wewe ungevumilia usicheke huku unaona watu wamenunua mifuko miwili ya cement alafu wametengeneza sanamu kwa mikono yao na wanaliomba toba na baraka ungevumilia kweli?View attachment 3262384
Siisingizii dini huo ndo ukweli. Mababu zetu waliokuwa wanaabadu mababu waliokufa tulikuwa tunawaita wachawi lakini makanisani watu wanaabudu watu waliokufa kwa kisingizio eti ni watakatifu hasa Roman Catholic.Dini unaisingizia tu
Elimu ndiyo inawafanya mtawaliwe kifikra.Elimu inawafanya muwe maroboti ya watu wachache wenye akili ya kugundua vitu.Mfano madaktari ni maroboti ya watu wachache waliobarikiwa uwezo wa kuweza kugundua dawa. Roboti la kisomi kila linapoongea kitu ni lazima liwe na "reference" lilipoyatoa hayo maneno maana roboti la kisomi huwa haliko huru kuongea maneno yake,limefungwa kifikra.
Pale alipo roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru.
hahaha ngoja wajeHata ingekua wewe ungevumilia usicheke huku unaona watu wamenunua mifuko miwili ya cement alafu wametengeneza sanamu kwa mikono yao na wanaliomba toba na baraka ungevumilia kweli?View attachment 3262384
1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.